Godbless Lema anatukumbusha kuwa ukipata uongozi, kuwa makini na wale wanaoamini walikusaidia kuupata

Nani kafeli sasa kati ya Charles Kitwanga na Magufuli? Mmoja yuko Masaki anaishi maisha ya ustaafu mwingine yuko kaburini toka 2021.
 
Lema syo type ya lissu ,na lema cyo level ya lissu hili linajulikana.
 
Yaani Lema awe na ushawishi kuliko Iissu? Wakati JK alitamka wazi na hadharani, ni heri uwe na wabunge 100 wa upinzani bungeni, kuliko LISSU m1 pekee yake.

Hata Mbowe anafahamu Mziki wa Lissu.
Kama anatembea atembee,wtz sio mafala tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…