Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Kapicha kamanda au picha nayo mpaka viongozi wa edit?
Watu waliofulika napo hakuna picha mnaogopa nini?
 
Yaani nchi hii tunaongozwa na mapunguani!
 
Nianze kuweka sawa kuwa Mimi Ni Simba damudamu!

Nimeshangazwa na namna Klabu ya Simba ilivyoshiriki Siasa chafu Leo kule Arusha!

Eti kucheza Bure I kuwazuia watu wasiende kumsikiluza Tundu Lissu!

Hii Ni kushiriki dhuluma Dhidi ya umma!

Na kwa kuwa mmepambana na nguvu ya Mungu ...lazima muadhibiwe kwenye Ligi Mwaka huu!

Dewji acha kuongoza Simba kwenye laana!
 
Vipi mbona siku hizi mnafanyia mikutano yenu uchochoroni?

Roho inakuuma sana. Vipi buku 7 huwa hampati ngoma ikinoga ki hivi, kinyume cha mnachokuwa mmetumwa kuhakikisha?

Utakuwa machozi yanakutoka wewe si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…