Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani.
Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema,
Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless Lema atatimkia chama gani cha siasa kwa wakati huu au atastaafu siasa?
Mungu Ibariki Tanzania