Lema hategemei chama huko kajishkisha tu ila shughuli yake kubwa ni wizi , ni mwizi mzuri wa magari akiiangalia tu gari lock za milango zinatoka zenyewe japo kwa sasa ameshughulikiwa sana kazi ya wizi imekua ngumu.
Ikitokea amefukuzwa basi kila mtu achunge gari lake.