Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti

Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa

Unadhani Lema atazungumzia nini leo?

 
Too much
 
Hivi ikatokea Kambi yake ikashinda yeye nadhan ndio atakuwa KM wa kwanza kwenye vyama vya siasa nchini ambae hajaenda shule..

Very emotional and illogical stpd man

Lema hajasoma?

Kwani kaishia level gani ya elimu huyu baba?
 
anachanganyikiwa vibaya huyu mwanamgambo wa lisu
 
Mpaka tujue location, tusafiri hadi alipo itakuwa midnight
 
Unapata wapi nguvu ya ku-comment mambo ya CHADEMA na wewe ni CCM mkuu?
naeleza ukweli tu kama mtaalamu mwandamizi na mbobevu katika siasa za ndani ya vyama vya siasa especilly Tanzania
 
Lema namuona mtu wa mhemko. Lema ni mzuri kwenye kuponda serikali ya ccm kinyume cha hapo ni mtu wa hovyo hovyo kupiga makelele ndo anaona ujanja yaani yupo too emotional.
Ukiona mwanaume yupo insta kuchwa ni kumsifia mke wake lazima atakuwa ana shida mahali na sasa hili limejidhihirisha kupitia huu ujinga anaofanya.

Anajionaga ana akili sana kuliko wenzie....huyu anaongozwa na hisia wala sio ujasiri
 
Godbless Lema anakabia kwa juu mpaka kieleweke. Nawapenda sana Timu Lissu.
Mwenyezi-Mungu awaangaze; awe pamoja na Tundu Lissu katika uchaguzi wa kesho.
 
Too late lema.
He can't change anything now, ni bora aunge mkono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…