Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mpe basi akusuuzeHuyu naye ana genye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe basi akusuuzeHuyu naye ana genye
Wahuni ni hao wanaogawa rushwa.Wahuni maji yamewafika shingoni ,washapima upepo kesho wanadondokea PUA ,wanaanza kuleta taharuki na press zao.
Kuna maelekezo kutoka kwa FAM kwa wajumbe wanaomuunga mkono TAL wasipewe vitambulisho vya kushiriki uchaguzi wa kesho vinavyotolewa pale makao makuu ,naona team FAM washaona mambo magumu kwaio wanatumia mbinu za washirika wao.Wakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa
Unadhani Lema atazungumzia nini leo?
Chadema hawawezi shinda chaguzi kwa wajumbe 1200 pekee kama wanahitaji wanachama na watu basi Lema ana haki.Lema ana cheo Gani chadema????
Rushwa mna ushahidi? Huyu anayetangaza watu wamekula Rushwa aliambiwa apeleka ushahidi lakini alishindwa....Huyo mtu wenu akiona mwenzake kanunua Boda anasema amehongwa ,sasa mtu kama Mbowe mwenye kumiliki HOTEL ,na pia alikuwa anafanya biashara kubwa ya maua yenye investiment ya mabilioni ndiyo ashindwe kununua USED cars mpaka aseme amehongwa?Wahuni ni hao wanaogawa rushwa.
Uchaguzi ukihujumiwà, watakiona cha moto October. Watajipigia kura wenyewe
aisee taratibu bana,tutagombana aiseeWahuni maji yamewafika shingoni ,washapima upepo kesho wanadondokea PUA ,wanaanza kuleta taharuki na press zao.
People are getting MadWakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa
Unadhani Lema atazungumzia nini leo?
aisee taratibu bana,tutagombana aisee
pamoja na yote mbowe apumzke sasa,amwachie TAL kazi, kwa sasa chama hakina mwelekeo na kipo hatarini kuvunjikaWametumia muda mwingi kukijenga chama ,wametoka machozi ,jasho na damu ,inakuwaje vyeo tu waende kukiharibu chama? Wafanye siasa/kampeni za kishaharabu na si character assassination....Malisa GJ ,Sugu ,Mnyika etc Mbona wapo kimya hatujui upande wao unafikiri hakuna wanaomuunga mkono? Yupo ila wataamua kwenye sanduku la kura.(Sugu ,Myika).
Kampeni za kukigawa chama hazifai ,Timu ya LIssu kampeni zao ni za kuchafua viongozi na kukichafua chama...Wajikite watafanya nini endapo wakichaguliwa.
Tumemchoka. Anamharibia tu mwenzake.Wakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa
Unadhani Lema atazungumzia nini leo?
Sawa. Na wakiona cha mtema kuni ndio mtu wenu atafaidika?Wahuni ni hao wanaogawa rushwa.
Uchaguzi ukihujumiwà, watakiona cha moto October. Watajipigia kura wenyewe
pamoja na yote mbowe apumzke sasa,amwachie TAL kazi, kwa sasa chama hakina mwelekeo na kipo hatarini kuvunjika
Wakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa
Unadhani Lema atazungumzia nini leo?
Zimeanza kuwa na sura ya Nia ovu siyo kampeni tena.Press za Lema zimeishakuwa monotonous Sasa!