Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

Wakuu,

Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti

Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa

Unadhani Lema atazungumzia nini leo?

Karibu Mheshimiwa Lema
 
Back
Top Bottom