Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

Lema hajasoma?

Kwani kaishia level gani ya elimu huyu baba?
Advance diploma in business administration na ana Masters ya human resource management kutoka arusha institute of accountants.
 
Hivi ikatokea Kambi yake ikashinda yeye nadhan ndio atakuwa KM wa kwanza kwenye vyama vya siasa nchini ambae hajaenda shule..

Very emotional and illogical stpd man
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU kiakili,,, usimuombe Vyeti, mpe dakika chache azungumze.

Uwezo alonao Lema, huwezi kuulinganisha na Timu Mbowe mkijumulishwa pamoja.
 
Hana jipya huyu.kaikimbia Arusha ameona hana kitu, sasa amekuwa kama dede lisilo na kitu. Mkubwa hovyooo
 
Reactions: Tui
Sasa wewe na lema nani ana akili. Umejificha na I'd bandia halafu umpe ushauri lema? Nyie machawa mnawashwa sana
 
Ashachanganyikiwa! Siasa ni akili sio kuropoka.
 
Hivi ikatokea Kambi yake ikashinda yeye nadhan ndio atakuwa KM wa kwanza kwenye vyama vya siasa nchini ambae hajaenda shule..

Very emotional and illogical stpd man
Haiwezi kutokea kitu kama hicho, Mbowe ameshawapiga tayari wameanza kuweweseka eti wajumbe wamefungiwa sehemu huwezi kuwaona.

Lisu asubili kura zetu za mitandaoni na za AI atashinda kwa kishindo, tena kwa maadui wa nchi kama kina Maria Sarungi watapiga kura mara mia nane.
 
Tumechoka anaonekana ana gubu
 
Na siku ile Mbowe anazindua nyumba yake Uchaggani, huyu Lema, Heche ndio walipiga picha na nyumba hizo wakikenua meno kuliko hata Boniyai na Sugu! leo eti Mbowe lahongwa tugari?
 
Ndio watu wajifunze kwenye siasa ukitaka kushinda wekeza nguvu zako kwa wapiga kura.

Lema ni muhuni tu hana cheo chochote Chadema na wala si mpiga kura, hana impact yoyote chadema.
Labda anaamini Lissu atampa mkate Makao Makuu! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…