Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Lemma hawezi kushindana na gambo hata siku moja aanze kuandaa kazi ya kufanya au arudie kazi yake ya zamani na utawala huu hatabaki salama
 
haswaaaa mkuu lema hana jimbo mwaka huu atafute kazi ya kufanya au arudie kazi yake ya zamani
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.

Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Mbulu vijijini
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.

Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.

Singida
 
Unateseka sana, wewe ungeachana na Lema ukawa unamsikiliza yule anayehutubia kisukuma.
Au huelewi kisukuma? Ajiri mkalimani basi!
 
Fata yako ya lema hayakuhusu kama imekuuma andamana kengewewe
 
uzuri wa kampeni za ubunge hazidanganyi,atakapoanza kwenda kata kwa kata hapo ndipo atakapoadhirika kama Mdee alipolazimika kusimama juu ya matofali,nimeumia sana mimi
Hizo picha zenu za kukata kata ndio mnajidanganya nazo kama watoto.
 
Kwa Arusha CHADEMA waanze kuweka mikakati tu ya kuhakikisha kura kwenye kila kituo zinajazwa kama zilivyo na wasimamizi hawarubuniwi au kulazimishwa kitu tofauti. Gambo imeshakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…