Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
2010-2015,2015-2020 na bado atapita tena 2020-2025!Sijui hapo utasemaje!!!😁Huwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.
Utateseka sana!!!!Maumivu yakizi kanywe chimpumu!Unajua zamani Arusha walikuwa wanataka tu mabadiriko ndio maana waliwahi chagua mpaka Mzee wa mitulinga Makongoro sasa huyu naye chalii wa chinja chinja pale kilombero akapitia hapo hapo.Arusha sasa inahitaji mtu mtulivu ambaye ataleta maendeleo.ule mji wa utalii kwahyo wavuta bangi, wanywa viroba na mirungi muda wao umeisha
Kazi ipi mkuu!haswaaaa mkuu lema hana jimbo mwaka huu atafute kazi ya kufanya au arudie kazi yake ya zamani
Ghana, na hakukuwa na machafuko yoyote kwani uchaguzi ulikuwa huru na haki. Fuatilia link hii Ghana's opposition leader Akufo-Addo wins presidential electionNaomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Kura yako itapunguza ushindi wa Lema kwa 0 .001%!So huna madhara!Arusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
sema tunmaini lako wewe ni ccm usitujumuishe wote mbona ni kama unatsemeaHapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.
Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.
Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.
Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.
Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.
Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.
Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.View attachment 1563991
Utaugulia maumivu mno!Kuwa karibu na watoa ushauri nasaha usijechukua maamuzi magumu!Yule mnywa mbega mwisho wake umefika na siku zake zinahesabika.
Basi mjiandae mapema kisaikolojiasio tusi hilo.
Ninekubali[emoji3]
Heil Magu
Hapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote....
TAKUKURU wamezuia rushwa ya ubwabwa wa kufirika ila kanga,kofia,barabara na madaraja wakati huu wa kampeni hawavioni.Anaewaalika wasanii kwenye mikutano yake,
1.Ana sera zisizo endana na maisha halisi ya wananchi,
2.Hapendwi ila analazimisha tu
3.Hana mvuto,kachuja kifupi hana jipya
4.Anaishia kugawa kofia,kanga na tisheti kama hongo ili achaguliwe.
Nadhani huu ushauri utamfikia.Lema aache kutumia kiinua mgongo kwenye kampeni kwani anapoteza
uzuri wa kampeni za ubunge hazidanganyi,atakapoanza kwenda kata kwa kata hapo ndipo atakapoadhirika kama Mdee alipolazimika kusimama juu ya matofali,nimeumia sana mimi
Imagine unabishana na mtu hajui hata kuandika, Tafadhalini sana kabla ya kuja kujadili vitu intensive kama siasa jifunzeni kwanza vitu basic kama "Mwandiko"mabadiriko
Wewe una elimu gani? 😛😛Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Juzi Rais wa Malawi kaachia dola,kama hata habari hujui utaiweza siasa?Kweli ujinga bado ni tatizo TzNaomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Kwa kipindi hichi anatumia mbinu za kitoto sana.Ccm itawachukua miaka 100 kuelewa strategy ya Lema na Kwa nini Lema huwa anashinda Arusha!!
Lema anapiga kambi kwenye kundi ambalo ndo mtaji wa CCM. Kwa hiyo kamwe hamtomweza