Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Siasa hizo hizo aliwatafutia hospitali ya mama na mtoto - kwa maendeleo hayo basi 'uhuni' uendelee. fuatilia link hiiPili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..................
Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi ...................
Mpuuzi we kibwengu naona unajipekechuaAcha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
Acha kuvuta bhangi we kisichana....hoja zako zimejaa utoto mtupuMimi sihitaji kumjua Lema sana.
Itakuwa najishua hadhi yangu...Inatosha kumjua kisiasa na na kujua vizuri akili zake za mbege kwenye siasa.
Ameshawapa mirungi na viroba tayari.machizi tu wataongozwa na machiziUtateseka sana!!!!Maumivu yakizi kanywe chimpumu!
Kwanii umeeekaarikaaaHapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.
Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.
Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.
Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.
Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.
Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.
Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.View attachment 1563991
Duh! Wewe utakuwa ni mpenzi wa lile jukwaa la Mapenzi, Urafiki na Uhusiano(MUU).Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
bange zitakufanya mwendawazimu bro achana nazo!Huu usultani wa kuita Munge wa milele sijui hata huwa mnamaanisha nini, eneo lenye zaidi ya Watu milioni moja haiwezekani kukawa na Mtu mmoja tu wa kuongoza wakati wote kana kwanba wengine wote waliopo ni hewa.
Malawi, kenya, USA, UKNaomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Kura yako ni moja tu hata hivyo!Arusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
Kwani huoni bodaboda?. Afu kwa nini muliwafuata watu sokoni?Hakuna lori wala basi hapo!
Usiwapangie wananchi nini cha kufanya!Wamempa miaka 10 awaongoze na kafanya hivyo,hao wananchi aliowakusanya kuwashawishi wamuongezee muda ndio waamuzi kama wampe au wasimpe!Ameshawapa mirungi na viroba tayari.machizi tu wataongozwa na machizi
Tena hapo mh Lema hakutumia hata senti ya kuwakodia mafuso wala punda, hao wamekwenda kwa mapenzi yao ya kweli.Usiwapangie wananchi nini cha kufanya!Wamempa miaka 10 awaongoze na kafanya hivyo,hao wananchi aliowakusanya kuwashawishi wamuongezee muda ndio waamuzi kama wampe au wasimpe!
Tuna mifano tena ya karibu tu, Kenya na majuzi tu hapo Malawi mpinzani kashinda.Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?