Hapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.
Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.
Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.
Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.
Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.
Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.
Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.
View attachment 1563991