Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 979
- 1,256
Ongeza RoryaChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.
Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Umesahau KaweChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.
Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Hili nalo neno!!Kwa sasa tunatakiwa kujiuliza ni namna gani ya kuwakabili CCM watupe nchi na si kujiuliza kama tutashinda huu uchaguzi.
Hakuna lori wala basi hapo!
Kama kuna majimbo yamesahaulika na awamu ya meko ni jimbo la Ulanga ya Godfrey Mlinga. Sijui na lenyewe lilikuwa na mbunge kutoka upinzani.Kwa Ulanga sio rahisi japo chama chakavu kimemsimamisha Mbunge ambaye mgeni kabisa katika siasa lakini anainfluence kubwa sana kutokana na kampuni yake kuajiri Vjana wengi pale Ulanga
Wewe tatizo lako nini,si una mgombea wako Mboga,komaa naye huyo achana na Lemma.Hapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote...
Wewe unateseka sanaAcha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
CCM haikuanza leo kujali Wasanii, 2015 pamoja na kuzungusha mikono mlikula knockout.Hivyo hivyo mwaka huu, mtapata mkwaju ambao hautasahaulika kwa miongo kadhaa.Wala wasanii
Ova
Hapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote...
Lissu ndiye rais wako baada ya uchaguzi wa October, hutaki rudi kwenu Burundiya kufikilika
Ndiyo itamshawishi Pompeo amfungulie Bashite kifungoni?CCM haikuanza leo kujali Wasanii, 2015 pamoja na kuzungusha mikono mlikula knockout.Hivyo hivyo mwaka huu, mtapata mkwaju ambao hautasahaulika kwa miongo kadhaa.
Kwani uongo? Unatesekea nini mkuuAcha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
Unavyojinyea tunakushangaa tu wana wa A town, Lema Ni Arusha na Arusha Ni LemaHuwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.