Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.

Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Ongeza Rorya
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano.

Bukoba Mjini, Bunda, Nyamagana, Ukerewe, Tarime Mjini, Vijijini, Arusha, Karatu, Mbeya,Hai, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Geita Mjini na Iringa Mjini.
Umesahau Kawe
 
Kwa Ulanga sio rahisi japo chama chakavu kimemsimamisha Mbunge ambaye mgeni kabisa katika siasa lakini anainfluence kubwa sana kutokana na kampuni yake kuajiri Vjana wengi pale Ulanga
Kama kuna majimbo yamesahaulika na awamu ya meko ni jimbo la Ulanga ya Godfrey Mlinga. Sijui na lenyewe lilikuwa na mbunge kutoka upinzani.
 
Kujaa kwa wananchi sio kigezo cha kupata kura, ni haki ya wananchi kusikiliza wagombea wewe subiri october ndio utajua
 
Gambo itabidi amuombe agisa elimu mkoa atoe agizo watoto wa shule wspewe likizo ya siku moja wavae kiraia halafu amlete Kiba Na Diamond angalau atafikisha nusu
 
uzuri wa kampeni za ubunge hazidanganyi,atakapoanza kwenda kata kwa kata hapo ndipo atakapoadhirika kama Mdee alipolazimika kusimama juu ya matofali,nimeumia sana mimi
 
Kutembeza bakuli kawaida yenu, bila shaka huo umma umeutamani hasa. JPM anakuja, Arusha nzima itang'ara kijani tupu. Lema Out.
 
Wala wasanii

Ova
CCM haikuanza leo kujali Wasanii, 2015 pamoja na kuzungusha mikono mlikula knockout.Hivyo hivyo mwaka huu, mtapata mkwaju ambao hautasahaulika kwa miongo kadhaa.
 
Hapo vipI!

Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote...

Kwanza inaonyesha kwamba humjui Lema vizuri, pale kaanzia nyumbani alipoanzia siasa mwaka 2005 na amefanya mikutano pale mara nyingi kuliko sehemu nyingine yoyote pili pale kawafuata watu wazima wapiga kura.

Tatu hakuna watoto ea shule na msururu wa malori na mabasi nne hakuna Ali kiba na shilole na kala jeremia tano mwambie gamboshi wako akasimame pale kama hajapata tumbo la hiari!
 
Amezkndulia mitaani/barabarani kwa nini hakuenda uwanjani?
 
Huwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.
Unavyojinyea tunakushangaa tu wana wa A town, Lema Ni Arusha na Arusha Ni Lema
 
Back
Top Bottom