dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio hapo sas mkuu hakna tija yoyote itaongezeka au kupungua kuwepo kwake Tanzania Ni Bora aendelee kupokeaa ukuni wake uko CanadaHivi kwani Lema asiporudi nini kitatokea?
Mpaka watatajana ni kitu gani hasa kilichomtokea JPM ghafla akiwa DSM February 2021 hadi mwanzo mwa Machi 2021"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."
"Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!"
Godbless Lema.
Na huyo mstaafu ndo tatizo kuu ktk Nchi, ndiye mshika remote wa kiongozi wetu."Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."
"Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!"
Godbless Lema.
Si propaganda, Lema ameyarudia mara kadhaa maneno hayo kule site ya karume.Hayo maneno kasema wapi na lini Lema?
Hii ni mara ya pili mnatengeneza propaganda za kumlisha maneno Lema ili mumpe promo Dikteta Magufuli.
Ngorongoro majuzi waliuwawa na Magu wale?Ni kweli Samia ana mapungufu mengi tu, lakini Magufuli aliyefikia hatua ya kuua hawezi kuwa bora kuliko Samia.
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."
Hakuna kinachobadilika mgawo wa umeme upo kama kawa. Eti anaupiga mwingi, anaupiga mwingi wapi?. Dr Bashiru.Lema ni Sawa na Dr Musukuma tu
Ukirudi au Usiporudi nini kinabadilika?
Huyu hajui hata Jiografia!Ulaya na America ni vitu viwili tofauti.Tafuta atlasi ujionee.