Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

Ni kweli magufuli ni Mara Mia zaid ya Samia Hilo liko wasi

Ila kauli Kama hyo isingepazwa kutoka kwenye kinywa Cha lema au m2 wa chadema awaye yote
 
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."

"Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!"

Godbless Lema.
Mpaka watatajana ni kitu gani hasa kilichomtokea JPM ghafla akiwa DSM February 2021 hadi mwanzo mwa Machi 2021

A Pandora's box is quickly drawn out from concealment, it is just a few lapses to uncover the truth for everyone to be caught up in surprise.
 
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."

"Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!"

Godbless Lema.
Na huyo mstaafu ndo tatizo kuu ktk Nchi, ndiye mshika remote wa kiongozi wetu.

Anatawala Kutokea Kijiji kimoja kinapatikana Pwani.

In other words Lema anasema Awamu ya nne ni Bora kuliko 5 na 6.

Chama CHOTARA mixture ya CCM na CDM kinatakiwa kizaliwe Ili tupate upinzani wa Kweli.

Nani wa kuvuruga urafiki kati ya Lema, Sugu wa CDM na Nanaki, na OO4 walioko CCM,?
 
Hayo maneno kasema wapi na lini Lema?
Hii ni mara ya pili mnatengeneza propaganda za kumlisha maneno Lema ili mumpe promo Dikteta Magufuli.
Si propaganda, Lema ameyarudia mara kadhaa maneno hayo kule site ya karume.
 
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."
1669710487340.png
 
Lema amechoka kutatuliwa marinda ameamua kuwa mkweli tu
 
Hakuna kama jpm hata umchukie vip mwisho lazima umpe sifa zake.

Jpm.hakuwa mnafiki ukikosea ni pale pale maamuzi yanatoka. Unafiki ni kitu kibaya sana.
Jpm wetu huku unakumbukwa hata na upinzani umekubali
 
Back
Top Bottom