Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

Hivi Samia ni daktari wa nini?
20250612_200758.jpg
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Kwahiyo itakuwa kama ujio wa Chama pale Yanga?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Wenye elimu ya mzungu wa kwanza kuona mlima Kilimanjaro wanafanya nini?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
No Reforms No Election.
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Tuanze na wewe! Wewe una elimu gani?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Chawa mnaongea kama vichaa. Wale wabunge mbona hujasema chochote kama issue ni elimu za viongozi. Achane upumbavu
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Raisi wako anayo Masters ya "Administration" mbona elimu ya kawaida sana nikuwa naela ukasome umalize chapu
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
u might be the dumbest fool i heard in my entire life
Raisi wako anaujuzi wakazi wala Elimu yake Hauezi Kusema mbele ya watu wenye Elimu Tunae rahisi Mwenye Elimu ya Kutisha huo sio ukweli watu wana Doctorate na sio viongozi uonaongea nini CHAWA
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
kwa hiyo kati ya Lema na msukuma na Kibajaji na JAA WA MAKAMBAKO nani ana elimuuu ,tumia akili acha kutumia makaa kuandika hoja yakoo ,pili mwanasiasa kujitafuta kama lema kwa upinzani nchi sio rahisi unavyofikiria sio CCM ambayo ukiwa tu mpunga mambo yako ni bambam
 
Back
Top Bottom