Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

Kuna tofauti kubwa kati ya elimu na akili zamani ma chief waliongoza Kwa kutumia akili wafalme wengi walifanya mambo makubwa kabla ya elimu kuingia Sasa hivi unakutana na mtu anajivunia elimu lakini hana akili Wala busara za kuongoza.
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Msukuma anamzidi Lema ?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Ila Kawawa alipata.
 
Kwahiyo Kishimba, msukuma wamesoma! Tena na hao wabunge wenu wasomi ndio wajinga kabisa uchawa mtupu.Na kila kitu ni ndio Tu
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
100 hrs ana elimu gani kwani?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Kasheku Musukuma Joseph na Jah People wa njombe wana' elimu gani achilia yule Kenge wa Zanzibar aliye feli masomo yote kidato cha nne isipokuwa kiarabu alipopata D
 
Kitu pekee Lema anachoweza kufanya ni kusema "Makamaanda"
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Unatia aibu sana:
Samia alimaliza form four failure akiwa na miaka 17 na baada ya hapo akaolewa na kuanza maisha kama “concubine”; kwenye marriage ya polygamy wake watatu. Halafu wewe unaona ati Lema hafai!

Mungu baba wa mbinguni tumekosa nini sisi watanzania hadi tunafikia kutawaliwa na “concubines” no it is too far and shameful
 
Back
Top Bottom