Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Ushauri wangu kwako,wahi pale Chaumwa kukajaze mapengo.
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Yaani hizo elimu za Msukuma, Tarimba na yule aliyetuita kenge zinaeleweka kuliko elimu ya Lema!

Vv
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Paul makonda??? 😅😅😅😅😅
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Sasa wewe inakuhusu nini
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Mwenyekiti wako wa CCM ana elimu halali gani!!??
Elimu ninayomaanisha siyo hiyo ya kuunga unga kwa gundi.
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
 
Attachments

  • 20250612_190153.jpg
    20250612_190153.jpg
    93 KB · Views: 24
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Kati ya Lema na ponjoro au msukuma, ni yupi mwenye umuhimu kwa Taifa?
 
Kwa I elimu ni kitu Gani, elimu yenyewe hii ya bongo?
Au Kwa I Lema alisema anataka kuhama chama?
Karume baba,alikua na elimu ndogo sana,lakini alifanya makubwa Zanzibar,ambayo hakuna kiongozi mwingine ambae amefanya mpaka Sasa.
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Huko ccm nani mwenye elimu inayoeleweka? Mnasoma community training institute mnasema mna elimu inayoeleweka?
 
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.

Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Msukuma ana elimu inayoeleweka?
Chawa ni chawa tu
 
Back
Top Bottom