Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
====UPDATE====
Mheshimiwa Tundu Antipas Lisu amemteua ndg John John Mnyika kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kuanzia leo tarehe 22 Januari 2025.
Tetesi zimeishia hapa.
Uzi unaweza kufungwa sasa.
cc: Moderator