PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Siasa za Lissu wa sasa zipoje hizo? Seems kuna vitu mjini mtu inabidi mpaka uwe na connection ili kuweza kuviona.Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.
Kwa hiyo hili ni jambo lisilowezekana? Kwanini usisubiri muda ili uliongee badala yake unaanza kuwatisha wanaoamini katika hili?Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.
Utabiri...nakumbuka ulikuwa unatabiri sana kuwa MBOWE atashinda kwa kishindoTuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.
Bila shaka una mfano mzuri wa hili. Unaweza ukatukumbusha angalau tukio moja alilofanya likawatoa watu kafara ili angalau na sisi tiwe na ufahamuKitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.
Busara ni nini? Maana imeongelewa sana humuHeche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.