Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu wa 2020 ni tofauti na wa sasa kwa sababu anampinga mama Abdul?Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.
Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.
Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.
Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.
Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Hajakanusha ujambazi wa magari.Lema ni mtumishi wa Mungu, ameonesha uadilifu wa hali ya juu sana.
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
View attachment 3209792
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Akiwa Lema itapendeza sanaHuyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
View attachment 3209792
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Mnyika ni covid 19.Mnyika pia mtu smart sana asiachwe
Huyu Erythrocyte akaungane na Lucas Mwashambwa kububujikwà nà maçhozi ya huzuni. Hàya machawa yameletewa wasiyempenda.Erythrocyte mme kabwagwaaa umekaa kimya hata hutoi mawazo yako ya furaha au huzuni? kichwa kimeliwa na wewe ndiyo unapotea maana lissu hataki wajinga kama nyie
Naunga mkono hoja mkuu kigaiya takataka kbsa ileNi Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.
Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Mpiga ramli piga vzri na Bado hujasema lissu foreverSijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.
Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.
Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.
Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.
Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Mwasi Kitoko kabisa weweUlichokisema ndivyo ilivyo! Ila chama kitafia mikononi mwao
Mwasi Kitoko chiembeUlichokisema ndivyo ilivyo! Ila chama kitafia mikononi mwao
sava tre` bien merciBaada ya kupatikana kwa mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni Tundu Lisu na John Heche sasa ni dhahiri Godbless Lema ndiye atakaye chaguliwa kuwa Katibu mkuu kukamilisha sekretarieti ya chama hicho.
Ikumbukwe kuwa Lema ni kambi Lisu na ndiye aliyekuwa msimamizi wa kura za Lisu kwenye uchaguzi wa kupatikana kwa mwenyekiti wa chama hicho
Inaonyesha timu Lisu walishajipanga mapema kuwa Lisu agombee uwenyekiti, Heche makamu mwenyekiti wakishinda Lema atateuliwa kuwa katibu mkuu wa chama hicho
Hivyo kuna kila dalili Lema kutangazwa kuwa ndiye katibu mkuu wa chama hicho kabla ya mkutano wao mkuu kwisha ili kukamilisha safu yao ya uongozi
Hapo watakuwa wametimiza utatu wao mtakatifu Lisu, Heche na Lema ndio maana Lema hakutia nia ya kuomba umakamu na kuomba wenyekiti wa kanda kwa makusudi kabisa kwa kuwa alishahaidiwa nafasi ya katibu mkuu
Comasava Lisu na Heche
ccm itatangulia kufa kwanza mikononi mwa mama abdulUlichokisema ndivyo ilivyo! Ila chama kitafia mikononi mwao