Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

aachane na visasi dhidi ya watu waliokuwa wakimpinga ndani ya chama hicho, lisu aungane na hao watu ili kukijenga chama. aachane kabisa na Mawazo ya kuwatafufia tuhuma au makosa wapinzani wake.
Yericho Nyerere ni takataka kama kuna wengine wenye constructive mindset siyo hii kitu
 
Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Lile neno alilolisema Mh. Mbowe wanataka kuleta mapinduzi ndani ya chama litatimia.
 
Naona Lema akirudi kugombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini
 
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.

Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.

View attachment 3209792

Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Team ya sasa ndio itatoa baraza la mawaziri 2025.. Mark this post
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0032.jpg
    IMG-20250122-WA0032.jpg
    52.8 KB · Views: 2
Arudishe familia yake kutoka Canada kabla hajaanza kuwatowa kafara watoto wa maskini kwenye maandano haram.
Haijaandikwa ni lazima, tunw viongozi wakubwa walikuwepo dodoma juzi, wana mpaka vitukuu england. Lakin hawajawahi lazimishwa au kuhojiwa kuhusu hilo
 
Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Unamaanisha wawabambikie kesi? Je itaishia hapo? Hawatakuja kuwa kama sisiemu kuwabambikia makosa watu wengine. Binfasi nashauri CDM wajiepushe na kubambikia watu makosa
 
Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.

Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.

Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.

Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.

Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Hii ni ramli kamili, una predict mammbo ya hovyo based on hisia.
lissu is different subiri muda uende
 
Unajiita Dr.Matola PhD ,,iyo PhD ulipata ya kujamba au ya darasan maana naona unaandika kama kama akili Haina kitu Bali mafuta yalio changanikana na makamas ,,!!
Bado anamawazo mdando ya ukabila ingekuwa hivyo Lema si angemuunga mkono Mbowe mchaga mwenziye?
 
Mnyika bado anafaa kuwa katibu mkuu, amepata ma strikers wa kumchangamsha

Uongozi uliopita alikuwa kapooza sana
 
Soon baada ya kukabidhiwa ofisi itabidi ifanyike special financial audit
 
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Kuna mtu alisema Lema asionekane kwenye uwanja wa Mlimani City vinginevyo atashughulikiwa
 
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.

Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.

View attachment 3209792

Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Lema hafai kuwa Katibu, japo sijui elimu yake. Ila katibu awe mtu mwingine na asibaki Mnyika. Lema apewe nafasi ya ueneze kwa sababu ya confidence na punch kubwa ya kuongea...
 
Back
Top Bottom