Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Saaahizi wanaiba mabaki ya pesa za chadema wafungue biashara na mwenyekiti mstaafu
 
Nabii Lema ajiandae kugombania Jimbo la Arusha.
 
Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Screenshot_20250122-134345.jpg
 
sawa, isipokuwa asimuache john mnyika, bado anahitajika sana kwenye menejimenti ya chama hicho. amteue katika nafasi yoyote ile hapa Makao makuu
Katibu Mkuu awe GL.
Hiyo safu ya juu yote inapaswa ibadilike ili kuwe na utofauti wa kiutendaji. Kumbuka chama ni Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa chama, ndiyo maana anateuliwa na wala hachaguliwi
 
Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.

Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.

Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.

Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.

Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Tukusaidie nini sasa? Kama unamuhitaji mbowe mfate kwake ukawe mpishi wake
 
Kwenye uchaguzi watu wanaandaa safu zao, Lisu watu wake wanata hiyo ajira na secretariet yote inaundwa na mwenyekiti na watu wanataka kula.

Ni wajinga wachache wanaodhani mapambano yalikuwa ya kisiasa lakini ukweli ni maslahi ya watu ndio yalikuwa yanapambaniwa.

Hapo Lema lazima awe katibu mkuu avute mpunga hana kazi sasa hivi.
Kwa hiyo ulitaka chama kisiwe na Sekretarieti kisa kuna ulaji?
Mshahara ni haki ya kila mfanyakazi katika eneo lake
 
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.

Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.

View attachment 3209792

Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Why not
 
Back
Top Bottom