Nyamshongoma
Member
- Sep 12, 2024
- 94
- 210
Lema amejitofautisha na ukanda,big up lema!Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu