milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mtu mwenye akili timamu,akisoma katiba ya chadema,ni kifo!Aache ushauri ndani ya CHADEMA?
Katiba Yao badala ya kuimarisha chama ngazi ya Matawi, kata, wilaya na mikoani,inaimarisha chama ngazi ya Taifa,Ili Hali hakuna misingi ya chama imara ngazi ya tawi ,kata,wilaya Wala mkoa!
Chadema itafia mikononi mwa Lema na Lissu, na wataikimbia nchi