YAANI MWENYE BUSARA AWE LEMMA BASI HILA MTU ATAKUWA NA BUSARA KAMA MACHIZI NAO WANAKUWA NA BUSARAWenye busara ndio uiona busara,kama hauna busara huwezi ona busara kwa mwenye busara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAANI MWENYE BUSARA AWE LEMMA BASI HILA MTU ATAKUWA NA BUSARA KAMA MACHIZI NAO WANAKUWA NA BUSARAWenye busara ndio uiona busara,kama hauna busara huwezi ona busara kwa mwenye busara
Taahira kama mama yakoLema ni taahira mmoja hv
Ila hayafikii makorokocho ya mzee mliyemshushia kitu kizito utosini🤸.sio kila kitu cha kutetea; Lema Ana mambo ya kijinga Sana, Hili lipo wazi!
Ila kwa wanakijani umeiona busara yao, kama wanabusara watujie na katiba mpya ya wananchi.Sijawahi kuiona busara ya Lema
Hapana mkuu....busara huonekana na kufurahia na hata wasiokuwa na busara.Wenye busara ndio uiona busara,kama hauna busara huwezi ona busara kwa mwenye busara
Chenge hafaiPeter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.
View attachment 2075432
Inakuhusu kitu gani wewe lumumba?Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.
View attachment 2075432
Pambaneni na hali zenu nyinyi chawa wa jiwePeter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.
View attachment 2075432
Uvccm wote ni wanafiki mkuuNa wewe kwa nini haujamfuata Lema private ukamueleze haya yote?
Samething kwako pia umekosa busara,elimu na akili,tena wewe ni zaidi ya mjinga kwa sababu umeshindwa ata kujifunza kwenye kosa la Lema...Acha kuishi kwa unafiki.
Lema ni taahira mmoja hv
Hakuna cha mbegu wala mbolea, Lema ni mbinafsi sana!Hii mbegu ya hovyo unayopanda iko siku utavuna matunda yake, kwa sasa wewe chekelea tu.
Akili ya Lema hujaifikia, siasa sio ya kukariri kama unavyodhani, wewe kalia mipasho tu.Hakuna cha mbegu wala mbolea, Lema ni mbinafsi sana!
Ila hayafikii makorokocho ya mzee mliyemshushia kitu kizito utosini🤸.
Wakati mwingine IQ ya mtu ni zaidi ya CV za kukariri madesa.Naombeni CV yake kama hamtajali
CV haioneshi level ya elimu pekee, inaweza kutosha kabisa kuonesha IQ ya muhusikaWakati mwingine IQ ya mtu ni zaidi ya CV za kukariri madesa.