Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

Aliekosa busara ni mwenyekiti wa CCM ambae yupo busy sana kulaghai na kutapeli Watanzania:

Kwenye kampenišŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.

Baada ya kuingia IkulušŸ‘‡šŸ’šŸ’šŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Chenge hafai
 
Inakuhusu kitu gani wewe lumumba?
 
Pambaneni na hali zenu nyinyi chawa wa jiwe
 
Mchungaji msigwa kwanini anaamini mzee chenge ni SAHIHI wakati huyo chenge anatoka huko huko CCM?
Anadhan upinzani utapata unafuu gani chenge akiwa spika wa bunge?
KIUFUPI HAKUNA MTU SAHIHI PALE CCM wote wapo kwa maslahi ya ccm.
 
Na wewe kwa nini haujamfuata Lema private ukamueleze haya yote?

Samething kwako pia umekosa busara,elimu na akili,tena wewe ni zaidi ya mjinga kwa sababu umeshindwa ata kujifunza kwenye kosa la Lema...Acha kuishi kwa unafiki.
Uvccm wote ni wanafiki mkuu
 
Hapana LEMA yupo sahihi upinzani wameteseka Sana.
Chuki utengenezwa Kama umenijengea chuki kwanini Mimi nikupende?
Ikifika hatua lema alitaka kuuliwa
Lema ni taahira mmoja hv
 
Lema ana ile legacy ya ujuaji juaji wa vijana wengi wa Arusha ambao kwao kila mmoja anajiona mjuaji wa kila kitu.

Pia tunakumbuka rekodi yake ya awali kabla ya ubunge.......

Ilikuwa shida kwenye magari ya watu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…