Hapo ndio mjue jinsi chadema ina viongozi hovyo kabisa hivi hawa nfio wa kuwapa nchi
Mbona ulikuwa unashangilia?Mmefanya majungu hapo kijani mmeona hamtosheki Sasa mnataka kuyavusha mipaka, mlimpiga nyundo ya kichwa Mzee wa galilaya Kwa kuongea ukweli, kisa mnaogopa kukosolewa.
Chadema wanaamini katika haki na zaidi katika uhuru wa mawazo. Sasa mjue TU mzee wa galilaya a anaongeza nguzu katika kuipata katiba mpya ya wananchi, mwanzo hakua anaamini kama ni muhimu ila baada ya kukutwa na zahama Sasa ameelewa[emoji848].
Hapo kwenye Msukuma -Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.
View attachment 2075432
Wanafiki wanapata mikosi sanaNa wewe kwa nini haujamfuata Lema private ukamueleze haya yote?
Samething kwako pia umekosa busara,elimu na akili,tena wewe ni zaidi ya mjinga kwa sababu umeshindwa ata kujifunza kwenye kosa la Lema...Acha kuishi kwa unafiki.
WEWE MWENYEWE HUNA BUSARA HATA CHEMBE NAKUJUA VIZURI SANAPeter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.
Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.
Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.
Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.
Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.
Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.
Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.
View attachment 2075432
The good, the bad, the uglyMchungaji msigwa kwanini anaamini mzee chenge ni SAHIHI wakati huyo chenge anatoka huko huko CCM?
Anadhan upinzani utapata unafuu gani chenge akiwa spika wa bunge?
KIUFUPI HAKUNA MTU SAHIHI PALE CCM wote wapo kwa maslahi ya ccm.
Lile la mimi kukualika dinner uje na mademu wenzio watatu halafu mimi kuwananii ndo mpaka leo unaona sina busara? Acha iwe hivyo dada wewe mwenyewe ulianza kunikosea. Mimi si bwege. Kama uliwaleta wale vyangu nao wanaliwa ...ngoma draw.WEWE MWENYEWE HUNA BUSARA HATA CHEMBE NAKUJUA VIZURI SANA
Sijawahi kuiona busara ya Lema
TAtizo la ujuaji wa kifala analo. Huwa anadhani anajua. Kuna siku club house aliongelea jambo flani kuhusiana na kesi ya Mbowe kwa wanasheria. Lissu alimpinga waziwazi. Lema ana ujuaji wa kishamba sometimes. Lissu nadhani alikwazika kidogo kuona jamaa anazungumzia mambo asiyoyajua kama anayajua.Lema ana ile legacy ya ujuaji juaji wa vijana wengi wa Arusha ambao kwao kila mmoja anajiona mjuaji wa kila kitu.
Pia tunakumbuka rekodi yake ya awali kabla ya ubunge.......
Ilikuwa shida kwenye magari ya watu.....
Umetupotezea muda mimi na mademu wenzangu,nimeingia na wewe gesti nimekiona kibamia chakoLile la mimi kukualika dinner uje na mademu wenzio watatu halafu mimi kuwananii ndo mpaka leo unaona sina busara? Acha iwe hivyo dada wewe mwenyewe ulianza kunikosea. Mimi si bwege. Kama uliwaleta wale vyangu nao wanaliwa ...ngoma draw.
Leta ushahidi kuonesha alikuwa mwizi wa magari. Mnakuwa watu wa ajabu kuzushia zushia watu mambo. Mnakeraga Sana.Mwizi wa magari Lema, ulijua ana busara au elimu au nidhamu, did you expect that toka kwa mtu wa caliber ya hivyo?
Ww ndio una matatizo uliwaza vipi Lema awe na busara?
Kwani mimi nimetamka wapi wizi wa magari?Leta ushahidi kuonesha alikuwa mwizi wa magari. Mnakuwa watu wa ajabu kuzushia zushia watu mambo. Mnakeraga Sana.
Sasa kwa taarifa yako tu ni kwamba, hawa wa ccm wanaoendesha hii nchi na ambao wamekuwa wakiiendesha huko nyuma ni bogus afadhali hata hawa wa upinzani tusiowajua.Hapo ndio mjue jinsi chadema ina viongozi hovyo kabisa hivi hawa nfio wa kuwapa nchi
Mbona na wewe sasa huna msimamo? Mnakalia majungu tu, huyo Ndugai naye mwambieni basi aturudishie hela zetu alizotuibia kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa India.Kwani mimi nimetamka wapi wizi wa magari?
Kwa kuwa umenyooshea jibu mstari....sasa nikuulize...kwani ni uongo???
Lakini shida ni wewe kuwa na Bakuli.... Wengine hiki kibamia kinawafaa sana ... Haya siku nyingine nitatumia mkono au mguuUmetupotezea muda mimi na mademu wenzangu,nimeingia na wewe gesti nimekiona kibamia chako