Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo.
Hana vyote hivyo viwili, na hana exposure. Labda kwa kukaa Canada itamsaidia kidogo, lakini kikwazo ni kuwa anaamini kuwa anajua kila kitu kwa hiyo hahitaji kujifunza chochote!
Bottom line: atabaki mbumbumbu maisha yake yote.
 
Watu wengi wa Arusha, Wana mapepe sana kujifanya wajuaji sana. Wengi wanakuja DSM kushangaa mwendokasi na kusepa na kujifanya DSM wameimaliza
 

Labda unaiongelea cdm nyingine, lkn kama ni hii!!? Thubutu yako, huko hakuna haki wala nini. Kama huamini, nenda seriously kachukue form ya kugombea uenyekiti, ndiyo utaelewa ninacho maanisha.
 
Na wewe nakuambia FUTA huu uzi. Hapo nimekosea?
 
Lema ni muhuni fulani na mjuaji....mjini huwaita "washamba wachangamfu".....
 
Lema mjanja mjanja sana ingekuwa yeye kaambiwa kufuta angefuta
 
Sipendi kuwa mkali, lakini JF siyo mahali pa kuzungumza watu na matukio.
Ni mahali pa kuzungumza hoja.
Ukitaka kuzungumza juu ya fulani kamfurahisha fulani, huo ni uhuru wako, lakini kautumie kwenye Majukwaa ya watu wenye ubongo mdogo where small minds talking about people and events are entertained!
Not JamiiForums.
This is a forum for great minds only
 
Mbona umeguswa sana....wewe ni mchepuko wake nini? Unaandika kama unaharisha. Hoja zinatolewa na nani? Unadhani consistency ya jambo flani inatokana na nini? Hujielewi. Umekariri. Unafahamu maana ya personality traits? Hoja huwa hoja inapotolewa na binadamu. Na wasomi huenda mbali zaidi kuangalia aliyetoa hoja ana msimamo,mtizamo,falsafa au kiakili yupoje. Hapo ni mtu. Usikariri ukadhani hizo hoja zinaletwa na upepo. Nimetumia maneno malaini kabisa ambayo hayatakukwaza ila yatakufanya uelewe kwa urahisi.
 
Lema nje ya kukosa elimu pia hana akili kabisa.
Huwa analazimishia mambo kusoma na ku kremu vitu lakini ukimsikiliza hana logic yoyote ile.

Mimi ni rafiki yangu na huwa tunakutanaga Kibo Palace hotel hapa Arusha au sehemu nyingine ila simuelewagi anaongelea nini. Anatakiwa aendelee kujifunza
 
Umetumia reshio ipi kujua mwerevu na mpumbavu? Just an opinions zao tu.
 
Tangia lini mtu aliekua mwizi/jambazi akawa na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…