Godbless Lema: I won't return to persecution paradise

Mtu aliezoea kukusanya 13 million take home kila mwezi kwa Miaka 10 kwa kupiga domo tu sio rahisi kuji adjust na kuanza maisha upya kabisa

Nmemuelewa sana Kamanda Lema
Hivi zile faini na mauchafu mengine mliomshinikizia, mmeshamkata zote au?
 
zamani sana tulikuwa tunasikia hizi simulizi kutokea Rwanda na Burundi sijui Banyamulenge..sikuwahi kufikiria kama tutaziishi. hatimaye
Mtanzania halisi kabisa kwa kweli hawezi kitufikisha hapa!! Maisha ya kuwindana kama wanyama wa mwituni..Kuna jambo hatuko nalo makini...

Genetics za watanzania ni wenye huruma mno!! Na hili linajulikana dunia nzima.
 
Hizo ni drama tu
 
Lema anataka kufaidi matunda ya "ukimbizi" kama Tundu ambaye watoto wake wanasomeshwa Ubelgiji.Kwa sasa Hana ajira,hawajui UNHCR watapeleka watoto wake hapo Kajiado PR School
 
Asante Lema nadhani Watanzania wengi tutapata fursa kufungua akili.
 
Mtanzania halisi kabisa kwa kweli hawezi kitufikisha hapa!! Maisha ya kuwindana kama wanyama wa mwituni..Kuna jambo hatuko nalo makini...

Genetics za watanzania ni wenye huruma mno!! Na hili linajulikana dunia nzima.
Alikuwa ameshatepeta mwishoni mwa kampeli alikuwa anatia huruma sana juhudi kigogo tu zimekosekana kwa upinzani jinsi ya ku organize maandamano ndiyo kapata nguvu tena ila bado ana kibarua kizito kwa kuishi na vikwazo vya safari na misaada ila kwa yeye sio shida wataipata Watanzania
 
Hizo ni drama tu
Hata Lissu alipolalamika mlisema ni drama. Alipoligwa risasi 16 sijui mlijiambiaje tena. Hivi Lema aache nyumba yake na biashara akimbie unasema ni drama? Hivi Nyalandu akimbie aache familia na kila kitu unasema ni drama? Tuombe Mungu sana.
 
Inaonekana furaha sana kwa wale wanaojiita 'wamepata ushindi wa kishindo', lakini ni mbaya sana kwa msitakabari wa nchi.
 
I'm also planning to leave this land of thugs. The "boss" is is encouraging and nursing thuggery in the country.
 
We mja laana huna jipya. Ni shetani

Kama ni hiyo video imekupa jazba kiasi hicho basi Shetani mkuu ni wewe usiyetaka maendeleo ya watu wala amani, unaetafuta chokochoko kila kuchapo
 
Lema anataka kufaidi matunda ya "ukimbizi" kama Tundu ambaye watoto wake wanasomeshwa Ubelgiji.Kwa sasa Hana ajira,hawajui UNHCR watapeleka watoto wake hapo Kajiado PR School
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kajiago primary school.
 
Kama ni hiyo video imekupa jazba kiasi hicho basi Shetani mkuu ni wewe usiyetaka maendeleo ya watu wala amani, unaetafuta chokochoko kila kuchapo
Wee Menopause inakusumbua

Hujishitukii kila MTU anakuona kinyago humu ndani kazi kusifia maovu?

Unatia kinyaa
 
Wee Menopause inakusumbua

Hujishitukii kila MTU anakuona kinyago humu ndani kazi kusifia maovu?

Unatia kinyaa

Ilimsumbua sana bimkubwa wako au mkeo?? Mimi bado sanaaaa

Wewe Mimi kupost hii video ya wananchi kupata huduma ya maji ndio unikurupukie na jazba lote Hilo. Ulitaka waendee kuteseka ili iweje? Binadamu wa kawaida kweli wewe?

Jifunze maana kuwa mpinzani. Upinzani sio kuchukia mpinzani wako anapofanya miradi ya maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…