Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na Kanuni za Uchaguzi wa 2024 alizoziita ni za Kihuni.
Lema alisema, βKanuni za kihuni sana, lakini tunakubaliana ndani ya Kamati Kuu kwamba tutapambana. Wizi umewekwa kwenye kanuni za uchaguzi wa 2024. Ukweli ni kwamba hatuwezi kususa uchaguzi kwani watu wana ari ya kupambana na hizo kanuni za kihuni na kushinda uchaguzi.β
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na Kanuni za Uchaguzi wa 2024 alizoziita ni za
Hawa watu wanashangaza. Kanuni ni mbaya halafu wanaenda kushiriki. Wakipigwa wanaanza kulia lia. Kwanini tusiseme kuwa hizo Kanuni zipo vizuri ndiyo maana wamekubali kushiriki.
Hawa watu waaache njaa, waache kujiangalia wao. Yaani wao shida wao wapate, wakipata wao hamna shida. Kama. Kanuni mbaya waache CCM wagombee pekee yao
Dada angu acha ukabila Tanzania ni moja Mrisho Gambo ni mrangi lakini ni mbunge wa Arusha, Mollel ni masai lakini ni mbunge wa Siha uchagani hakuna tatizo.
Boni Yai kashinda uenyekiti wa Kanda ya Pwani una maoni gani ? Maana povu lilikutoka sana mpaka ukaanzisha uzi humu.
Na leo katoka kwa dhamana. Unasemaje ???
Enzi za kutafuta uhuru watu wenye fikra za kubeza harakati za watu kama nyinyi mnge..............
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na Kanuni za Uchaguzi wa 2024 alizoziita ni za Kihuni.
Boni Yai kashinda uenyekiti wa Kanda ya Pwani una maoni gani ? Maana povu lilikutoka sana mpaka ukaanzisha uzi humu.
Na leo katoka kwa dhamana. Unasemaje ???
Enzi za kutafuta uhuru watu wenye fikra za kubeza harakati za watu kama nyinyi mnge..............
π€£ Kumbe?
baada ya yule ustadhi kusense kafara akajitoa kwenye kinyanganyiro sio ?
ndio wale niliowaona juzi wakishangilia sana nini? walikua kama wat 80 hivi right?
mbona watu walikua wachache sana aise, kwenye tawi langu hapa kitaa la club bingwa Tanzania linawajumbe zaidi ya mia4, kulikoni kanda mko 80 tu gentleman?π
ameshinda kwa kura ngapi sasa au amepita bila kupingwa π€£

Huu ndiyo ushujaa! Usiache kulima shamba (Tanzania) la mihogo(kura) eti kwa kuhofia Nguruwe (Chama pendwa) watatafuna mihogo.
Ukijipanga vizuri unaweza kulilinda shamba lisiliwe.