R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Oct 7, 2024 #21 Kushiriki uchaguzi wenye KANUNI za kihuni Kisha uje udai uliibiwa kura ndio uhuni mkubwa zaidi.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Oct 8, 2024 #22 wale waliokuwa wanaotukana ACT kwa kutosusia chaguzi ndogo wako wapi? nilisema mimi chadema hawezi susia chaguzi, ya semeni basi kuwa na chadema nacho CCM B
wale waliokuwa wanaotukana ACT kwa kutosusia chaguzi ndogo wako wapi? nilisema mimi chadema hawezi susia chaguzi, ya semeni basi kuwa na chadema nacho CCM B