Pre GE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bora Lema umeona umuhimu wa maombi. Wengine wanabwabwaja tu. Mungu ndiye mwenye maamuzi ya mwisho.
 
Kama kuna watu wa hovyo CDM basi huyu ni mmoja wapo!! CDM haitokuja kupata tena watu type ya Baregu, safari, Kitila, Kafulila, zitto, wao kwa mambo yao ya hovyo wakawafukuza, now hili jamaa, Sugu, boni yai ndiyo wamebaki kuwa think tank wao!! No wonder m/Mkiti anaendeshwa na watu wa x na clubhouse
 
Twende na No reform no elections.
 
Anajua anachokifanya huyu, anamtumia Mungu kama kichaka
 
Kwa mujibu wa interview yake ya leo ni kuwa, Mungu kamjibu amsapoti Tundu Antipasi Lissu
 
Kambi yao ya "Mbowe must go" mbona inajulikana toka mapema - msigwa, lissu, lema, maria, dr slaa na heche.

Sasa mwamba kashasema hawezi kukiachia chama katika mikono ambayo si salama, hivyo mwamba bado yupo sana tu.
Ukiangalia hiyo timu kwa umakini lazima hata wewe mwana CDM ustuke uone kuna harufu harufu mbaya ivi - dr slaa ati na yeye kweli? Kasahau nn ama ana maslahi gani ndani ya CDM endapo Lissu akiwa mwenyekiti. Tafakari chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…