Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

Chadema jeshi hawana polisi Hawa nk lakini wanacho.kitu kimoja tu kikubwa UKABILA..

Kwa Hilo hakuna Chama chochote Cha siasa kinawafikia
 
Maadam wanaohama Chadema kuhamia CCM, wanakuwa wamejitambua na kuona mbali, naendelea na ushauri wangu huu, wasibezwe.


P
 
Wewe ni mhaya wa ajabu! nadhani ulisoma "Nguin". Nsomile hawako hivi! Nshomile wako objective with no stories of Istilahi and the like!
 
Inaogopwa kama teke la mwisho la farasi anayekata roho. Maana CHADEMA inajifia na teke lake linaweza kuleta hatari. Haina cha kupoteza tena. Mfano mdogo ni kateke ka kususia uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
nadhani hilo la ukabila lilishashindwa! Tafuta lingine. CDM is countrywide!
Chadema iko countrywide kwenye maeneo yenye wachaga wengi.Wakiwepo hapo lazima chadema iwepo.Si unajua wachaga wamesambaa nchi nzima .Popote walipo chadema ipo
 
Anabadilishaje mawazo yako kwenye sanduku la kura wakati uligoma kujiandikisha?
 
Wewe ni mhaya wa ajabu! nadhani ulisoma "Nguin". Nsomile hawako hivi! Nshomile wako objective with no stories of Istilahi and the like!
Bora kulala masaa 2000 mwili utapumzika, kuliko kubishana na mpumbavu; maana kitokacho kwa mpumbavu ni uovu na ubatili, wala nafsini mwake hakuna la heri.
 
.... uzi umejaa maneno.. inasemekana inasemekana!
 
Kwa ambaye haifahamu Chadema atahisi inakufa hahahaha aliondoka Zitto na bado ikawa Strong sembuse hao waganga njaa!!/
 
Mimi ya kenya naona walibadili jina tu la chama lakini uongozi ulibaki uleule
Mwaikibaki alikua makamu wa raisi chini ya moyi uhuru alikua waziri wote walikua KANU sema walitumia akili kubwa nchi huongozwa na watu chama ni Nembo tu ya kupanga safu ya utawala..
Nahapa TZ CCM itakuja fikia mwisho na tayari watakua na jina mbadala la kiutawala..
 
KANU ilibadilisja jina lini?? KANU bado ni chama cha siasa na kimeshinda kiti cha Governor kwa Gideon Moi. Na kina wabunge ambao hawafiki hata 10. So sio kweli kuwa kilibadilishwa Jina ila watu ni walewale.

Kibaki kuhamia NARC ilikuwa ni sawa na Lowassa au Amama Mbabazi wa UG kuhamia upinzani chaguzi zilizopita. Lakini KANU ilibaki na rundo la watu mfano Rais aliyemaliza muda wake kipindi cha mwanzoni miaka ya 2000 Daniel Moi na akamsimamisha mtoto wa muasisi wa Taifa Uhuru Kenyatta kugombea urais je hiko chama ni kidogo?? Ila bado kiliangushwa kwa kura nyingi sana ndio hoja anayojenga Retired

Kuwa, CCM licha ya ukubwa wake kinaweza kuangushwa asubuhi tu. Kama umefuatilia siasa za Kenya uchaguzi wa 1997 ulikua unaenda kuzika upinzani rasmi maana Moi ukimpinga tu unapigwa sindano ya sumu.Ila wachache hawakujua miaka 5 baadae KANU itafutwa rasmi.

Kama Gadaffi na Bashir ambao nguvu yao CCM haiingii hata 10% wametolewa what is so special about CCM?? mna nguvu kuliko Moi?? Au Mubarak??

Time Will tell
 
Wishfull thiking. GOP USA wapo tangu 1854 Mpaka leo na wameshika madaraka muda mrefu kuliko chama kingine USA. Conservative UK hivyo. Hivi vyama ni tasisi na sio cult personality. Vyama vingi Africa vinakufa kwa sio Tasisi ni cult. CCM sio rahisi kufa kwa sababu ni tasisi. Kutawala Tanzania milele haiwezekani vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…