DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Lema naye aache taarabu. Kama anamjua huyo mtu si amtaje adharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaaaRafiki yake ni nani kama sio yeye, kwa wanasiasa hakuna linaloshindikana.
Kalenjini na wakikuyu Ni jamii iliyokuwa imekamatana na wakikuyu .Kumbuka Wakikuyu walipogombana na wajaluo Kenyata mkikuyu alimteua Moi mkalenjini kuwa makamu wake wa Raisi wajaluo wakawatupa huko. wakikuyu waliondoka na wakalenjin wakati wa moi.Hadi Sasa Kenya Raisi Ni mkikuyu na makamu wa Raisi William Rutto Ni mkalenjini.Kabila la wajaluo wako na akina Odinga Hadi Leo.
Kanu haijafa ipo ila imebaki na vikabila vidogo..KANU kusambaratika ilikuwa no Vita ya kikabila ndani ya KANU na kelele zosizoisha za wajaluo na vikabila vidogo kutaka nao wapewe madaraka makubwa.
Chadema Leo wachaga wakiondoka inakufa Kama exactly Kama KANU ya Kenya.
News has to be something new, which has impact, also big names makes news, habari ikiwa inajirudia rudia, baadae inakuwa sio news tena, inakuwa imezoeleka.Inasemekana binamu bananga atafata,kilichonishangaza ni meya kuhamia ccm alafu imekua sio habar tofauti na hapo nyuma mtu akihamia headlines kila kona
Usiwaamini sana wanasiasa wa Tanzania!Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Ameandika sentensi fupi lakini imeacha maswali mengi!Mtoto wa kiume aache mafumbo mafumbo. Anaposema "bado rafiki yake mmoja" ana maanisha kuwa bado yeye au?
Wewe unadhani wanasiasa wanafanya kazi kwa malipo bure?Sasa naelewa kwa nini ccm wapo tayari kutoa roho ya mtu kisa tu madaraka,kumbe Kuna madili kwenye uongozi
Mama yako pekee ndio anaweza kuelewa andiko lako maana anajua alizaa taahira
Mama yako pekee ndio anaweza kuelewa andiko lako maana anajua alizaa taahira
najua wanapata mshaharaWewe unadhani wanasiasa wanafanya kazi kwa malipo bure?
Ninachojiulizaga kila siku ni kwa nini CCM inaiogopa sana Chadema? Wamewarubuni viongozi wengi sana wa Chadema wakajiunga CCM lakini CCM bado inakosa usingizi na haijiamini inapotokea kuna sanduku la kura na mgombea wa Chadema akiwepo. HIII CHADEMA NAHISI KUNA MKONO WA MUNGU NDANI YAO. Kwa matendo na mwenendo wao mzuri baraka za Mungu zipo juu yao.Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.
Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.
Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.
Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!
Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!
Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Kama kuna mtu ndani ya CCM alikuwa anawaza kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM ahesabu maumivu. Hapo Kalist anapitishwa bila kupingwa!Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.
Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.
Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.
Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!
Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!
Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Kama kuna mtu ndani ya CCM alikuwa anawaza kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM ahesabu maumivu. Hapo Kalist anapitishwa bila kupingwa!
G.E.J. Lema mwenyewe. Na hapo ndipo mtaelewa maana ya siasa za chama hicho.Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Asijisahaulishe huyo mwamba!Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.