Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

Hata mimi nafikiri ni yeye ila nasikia Ofisi Ndogo Lumumba ndio haimtaki ingawa kaishabembeleza sana!

Sio Lema tu, hata Mbowe akihamia ccm bado wananchi tunaojitambua hatuwezi kuikubali ccm.
 
Tena wanaiogopa haswaaa!
 
Bonge la tafakuri!
 
MsemajiUkweli,
ANAYEFUATA NI RAFIKI YAKE AMBAYE N YEYE LAKINI HUYU JAMAA YAANI LEMA HAJAACHA TU DHURUMA? YAANI ALIKUWA ANAMDHURUMU LAZARO MPAKA KAKIMBIA CHAMA?
 
Dula la kuku, mwewe yeye anapepea angani na kifaranga. Alie juu mfate juu, usimsubili chini.

 
Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.

Huyo hatakuwa Mwanachama makini baali ni Mwanachama na NJAA na Mwoga asiye na ujasiri wa kukabiliana na ubabe wa Magufuli na CCM yake!
 
Pia usisahau fisiemu ni chama cha matabaka sisi na sio wenzetu pasi kusahau "mafisadi na waliodumaza nchi" siku "malofa" wakijitambua na kumjua adui yao kitakwenda kuzimu pasi simile.
 
zitto junior,
Rais ajae anatoka KANU anaitwa Gideon Moi
Hili siwezi kupinga maana siasa za kenya ni ukabila kuliko vyama. Kama Odinga atakuwa mgombea mwenza wa Moi au viceversa basi Ruto asahau urais. Maana Luo/Luhya + Kalenjin kura sio chini ya Million 4.
 

Yehodaya!
Inaonekana kabisa huna focus unaongea kishabiki na ulevi tu wa madaraka! Wote tunaijua Kenya na KANU kama tunavoijua TANU(CCM) na Tanzania! KANU ilifia mikononi mwa Daniel Arap Moi a.k.a Nyayo Rais awamu ya 2 baada ya Mzee Kenyatta! Moi alkuwa Kalenjin na hakuwa Jaluo au Kikuyu kama unavopotosha hapa!
Demokrasia,Katiba,Tume Huru,Uhuru wa kutoa maoni ,kujieleza na Kujitambua kwa Wakenya ni mambo ya msingi yaliyo ing'oa KANU ya Kenya wala si ukabila!
Ndiyo maana leo TANU(CCM)ya Tanzania imeamua kuminya mambo hayo yote ya msingi na hawataki kuyasikia wala kuyaona ili watawale milele kama wanavodanganyana…!Hakuna marefu yasyokuwa na ncha….! Siku yaja na muda utasema imetosha!
 
Mwanahabari Huru Binamungu rafiki ya Msando is next.......
 
Kalenjini na wakikuyu Ni jamii iliyokuwa imekamatana na wakikuyu .Kumbuka Wakikuyu walipogombana na wajaluo Kenyata mkikuyu alimteua Moi mkalenjini kuwa makamu wake wa Raisi wajaluo wakawatupa huko. wakikuyu waliondoka na wakalenjin wakati wa moi.Hadi Sasa Kenya Raisi Ni mkikuyu na makamu wa Raisi William Rutto Ni mkalenjini.Kabila la wajaluo wako na akina Odinga Hadi Leo.

Kanu haijafa ipo ila imebaki na vikabila vidogo..KANU kusambaratika ilikuwa no Vita ya kikabila ndani ya KANU na kelele zosizoisha za wajaluo na vikabila vidogo kutaka nao wapewe madaraka makubwa.

Chadema Leo wachaga wakiondoka inakufa Kama exactly Kama KANU ya Kenya.
 
Kwamba tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja? Naona unaangalia sana 2020 je umejaribu kufikiri 2025
 
Inasemekana binamu bananga atafata,kilichonishangaza ni meya kuhamia ccm alafu imekua sio habar tofauti na hapo nyuma mtu akihamia headlines kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…