Godbless Lema: Let love lead! Mama, mtoe Lissu kwenye kuta za gereza

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia kwa kufiwa na mumewe pia kafikisha salamu za mwenyekiti wake anayekaribia kuhukumiwa kwa kosa la uhaini.

Mwenyekiti wa chama kilicho mwisho wa maisha yake CHADEMA, ndugu Lissu kaomba afikishiwe salamu zake za pole kwa Mheshimiwa Rais kupitia mnufaika wa michango ndugu Lema. Kwenye salamu hizo Lema kamwomba Mheshimiwa Rais amtoe Lissu gerezani.

======

M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote.

Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama angekuwa nje ya gereza, angefika Unguja mwenyewe kutoa pole na faraja. Kwa bahati mbaya, akiwa bado yuko gerezani, hawezi kutoka na kufika mwenyewe kukupa pole katika kipindi hiki kigumu.

Nami nikupe pole sana kwa kumpoteza mume wako mpendwa. Jipe moyo na uimarishe imani yako katika tumaini la Mungu. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu wewe, watoto na familia nzima.

Let’s Love Lead, Mama! Get Lissu out of the prison walls!

Screenshot 2026-09-14 at 10-38-37 Instagram.png

Screenshot 2026-09-14 at 10-39-32 Instagram.png
 
Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia kwa kufiwa na mumewe pia kafikisha salamu za mwenyekiti wake anayekaribia kuhukumiwa kwa kosa la uhaini.

Mwenyekiti wa chama kilicho mwisho wa maisha yake CHADEMA, ndugu Lissu kaomba afikishiwe salamu zake za pole kwa Mheshimiwa Rais kupitia mnufaika wa michango ndugu Lema. Kwenye salamu hizo Lema kamwomba Mheshimiwa Rais amtoe Lissu gerezani.

View: https://www.instagram.com/p/DdKCXBKNBpU/?stkn=MWNwbXpmanE4dGN1aA==

Jizi na lipenda rushwa jingine linapambana kupost
 
yaani kaujumbe ka lema kalikua ni hako ka aya ya mwisho tu kakiingereza,
hayo mengine ni porojo na unafiki tu 🐒
 
Back
Top Bottom