Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Rais Samia alishawaambia tangu akiwa makamu kwamba serikali ya chama chake haiwezi kuwa na askari wanaokosa risasi tatu bado wakaendelea kuwa kazini.

Ni bora mshirikiane na vyombo vya dola kutafuta aliyempiga tundu risasi kuliko kukimbia nchi na kutumia hilo tukio kutafuta umaarufu na kuichafua nchi yetu
Kwa hiyo unataka kutuambia wale waliomkosa Lissu walifukuzwa kazi na waliobaki hawatarudia kosa? Mbona mnazidi kumharibia badala ya kumjenga.

Rais Samia amesema tusahau yaliyopita lakini nyinyi mnakazania kukumbusha. Hamumtakii mema.

Amandla...
 
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.
Yaani unaposema UDINI /UKANDA Unakusudia nini? Hufahamu kwamba hili ni Taifa Lazima viongozi wetu wapatikane kwa Sura hiyo, ebu Acha uchagadema
 
Inatoka pale lissu nae alipomteua Salum kuwa makamu wake
Haihusiki. Ushauri huu ungeutoa wakati wa uchaguzi na ungetoa sababu za Salum kukosa sifa. Sasa hivi Lissu sio Rais.

Ushauri unatolewa kwa Rais wetu mpya. Na nina amini ushauri umetolewa na raia wake kwa nia njema na kwa itikia wito wake kuwa tusahau yaliyopita na tushirikiane kujenga nchi yetu. Ushauri ni sehemu ya ushirikiano huo.

Amandla...
 
Unampongeza nani wakati hamtaki kushiriki kwenye upeleleze?!
Mbona mnatufanya watu wote kuwa ni wajinga. Hivi watu wote wanaouawa upelezi haufanyiki kwa sababu wamekufa? Lissu alikuwa Nairobi, mlishindwa nini kumfuata? Amehamia Ubelgiji mmeshindwa nini kumfuata? Amekuja kugombea Urais, mmeshindwa nini kumuuliza kulitokea nini? Huu wakati wa Zoom na Skype mnashindwa nini kumhoji mtu yeyote kokote kule alipo? You dropped the ball on this one.

Amandla...
 
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.
Rc mbeya yule mshikaj sijawah kumuelewa hata siku moja makonda niliwah kumuelewa kidogo ila ule jamaa duh
 
Hahaaaa......
LEMA KM LEMA.

kabudi km kabudi.......

chalamila km chalamila.....
 
Kwa kuwa manabii bado wapo hatuna wasiwasi na yeyote watakayemleta... Asipoliponya taifa anapitishwa kushoto...!!
 
JAMANI LEMA ASIBEZWE NAKUMBUKA ALIOTA NDOTO KUWA JIWE ATAKUFA IKAWA KWELI!!SASA NAONA BAADA YA KUMUONA MAMA RAISI ANAKOHOA TU "ROHO YA KINABII IMEMSHUKIA TENA NA AMEOTA NDOTO TENA" KUNA JAMBO LITATOKEA SASA CHAGUENI KWA MAKINI VP!!!!nimeshaanza kushtuka ccm watampitisha MWIGULU mwenye mikono ya mauti na ni hatari kwa taifa!!!!
 
Kwa kuwa manabii bado wapo hatuna wasiwasi na yeyote watakayemleta... Asipoliponya taifa anapitishwa kushoto...!!
Nchi yetu imewekwa kwenye misingi ya Mungu yeyeto atakayeiharibu ataharibika yeye Mungu atotuacha yatima tunaona ukuu wake.
 
Back
Top Bottom