balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Yaani sisi wanaume Ni wa wote,yaani sisi ni wa yeyote.Au nasema uongo ndugu zangu!Hata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
Kwa hiyo unataka kutuambia wale waliomkosa Lissu walifukuzwa kazi na waliobaki hawatarudia kosa? Mbona mnazidi kumharibia badala ya kumjenga.Rais Samia alishawaambia tangu akiwa makamu kwamba serikali ya chama chake haiwezi kuwa na askari wanaokosa risasi tatu bado wakaendelea kuwa kazini.
Ni bora mshirikiane na vyombo vya dola kutafuta aliyempiga tundu risasi kuliko kukimbia nchi na kutumia hilo tukio kutafuta umaarufu na kuichafua nchi yetu
👊👊Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu Bila akili ni sawa na Choo Bila mlango.
Yaani unaposema UDINI /UKANDA Unakusudia nini? Hufahamu kwamba hili ni Taifa Lazima viongozi wetu wapatikane kwa Sura hiyo, ebu Acha uchagademaNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Haihusiki. Ushauri huu ungeutoa wakati wa uchaguzi na ungetoa sababu za Salum kukosa sifa. Sasa hivi Lissu sio Rais.Inatoka pale lissu nae alipomteua Salum kuwa makamu wake
Mbona mnatufanya watu wote kuwa ni wajinga. Hivi watu wote wanaouawa upelezi haufanyiki kwa sababu wamekufa? Lissu alikuwa Nairobi, mlishindwa nini kumfuata? Amehamia Ubelgiji mmeshindwa nini kumfuata? Amekuja kugombea Urais, mmeshindwa nini kumuuliza kulitokea nini? Huu wakati wa Zoom na Skype mnashindwa nini kumhoji mtu yeyote kokote kule alipo? You dropped the ball on this one.Unampongeza nani wakati hamtaki kushiriki kwenye upeleleze?!
Rc mbeya yule mshikaj sijawah kumuelewa hata siku moja makonda niliwah kumuelewa kidogo ila ule jamaa duhNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Rc mbeya yule mshikaj sijawah kumuelewa hata siku moja makonda niliwah kumuelewa kidogo ila ule jamaa duhNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Kabudi anamzidi Lema kwa elimu lkn sio akili, kama angekuwa na akili kumzidi Lema asingekunya dawa ambayo haijafanyiwa utafiti.Lema na Kabudi nani ana akili zaidi?
Nabii wa kifo???Hata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
Lema anazo nyingi kuliko alizonazo Kabudi.Fanya analysis utagundua.Lema na Kabudi nani ana akili zaidi?
Mara paap kanudi makamu wa RaisiProf Kabudi ni zao la....[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Unachukua yanayokuhusu mengine za kuambiwa unachanganyaJamaa ni mhuni tu, alizusha msaidizi wa jpm kama jana tumemuona kwenye runinga.
Nchi yetu imewekwa kwenye misingi ya Mungu yeyeto atakayeiharibu ataharibika yeye Mungu atotuacha yatima tunaona ukuu wake.Kwa kuwa manabii bado wapo hatuna wasiwasi na yeyote watakayemleta... Asipoliponya taifa anapitishwa kushoto...!!