Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."