Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Hiyo formula unayoongea haipo na haitakuwepo.Ikitokea watoto wakafa inamaana alisema uongo hata kama ni kweli alilosema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo formula unayoongea haipo na haitakuwepo.Ikitokea watoto wakafa inamaana alisema uongo hata kama ni kweli alilosema?
Fomula isiyokuwepo ni kuthibitisha kuwa unasema kweli kwa kuombea wanao na mke wafe kama si kweli.Hiyo formula unayoongea haipo na haitakuwepo.
Hicho ni kiapo mzee.. assume watu unao wapenda uapie wafe Kama unasema uongo.. Mungu hajaribiwi..na ndio maana Lema kasema ya moyoni..Watoto na wazazi wako wanahusu nini sasa?
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."
Mbowe kabadili gia angani...Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."
Mimi nadhani ni kweli alikuwa amepanga kustaafu. Nahisi hata familia yake ilimtaka apumzike. Kilichomfanya abadilishe mawazo ni kampeni chafu zilizokuwa zikifanywa ili asigombee hata kabla hajatangaza. Pamekuwa na kumchafua mitandaoni kwa kiasi ambacho hakijaonekana. Sisi wengine ndio tukaanza kuhoji kwa nini nguvu zote hizi zinatumika kutaka asigombee. Wakati yote hayo yanatokea sikumsikia hata mmoja wa kundi la Lissu akisema " chonde chonde tumheshimu Mbowe". Badala yake ni insinuations kuwa kanunuliwa, kuwa ni muongo, ana biashara haramu n.k. Mtu yeyote anaejiheshimu atasema ngoja nipambane hata kama uwezekano wa kushinda ni mdogo.Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."
Mbwe is still a potential man, if he wishes he can continue! Unadhani Lisu atafanya nini? Mbona hajamtoa Slaa kama yeye ni alfa na omga kama anavyodai na wewe unavyodai. Sana sana ataishia jela and that will be the end of itRetired anataka aendelee pia.
Mimi nakubali"amekwambia", amechoka na mjiandae. Tatizo hamkujiandaa sasa ndio maana Mzee Ayatollah Mbowe ameamua aendelee kuwa Mwenyekiti. Hili ni kosa lenu.Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."
Kizee cha hovyo cha CCM kinapigania maslahi ya mama Abdul na CCMLena na Lisu ni waongo hawaaminiki hata kidogo, wapuuzwe tu. Mbowe hawezi kuzungumza maneno kama hayo na mtu mropokaji mwenye kiburi na asie na mipango kama Lema.
Aache kupotosha umma wa wa Tanzania na wadau wa JF 🐒
ukweli siku zote huwa ni soft sana ukilinganisha na uchungu anaoupata anaependa kuskiza uongo.Kizee cha hovyo cha CCM kinapigania maslahi ya mama Abdul na CCM
🤣🤣🤣unafiki at the highest degreeukweli siku zote huwa ni soft sana ukilinganisha na uchungu anaoupata anaependa kuskiza uongo.
Infact ukweli mchungu gentleman na itabidi uzoeee tu 🐒
Hawezi kuachia kwa sababu maelekezo ya mama wa maridhiano mama Abdul hayasemi aachieAtakiacha muda muafaka ukifika, ila kwa sasa hawezi kukiacha chama katika mikono isiyo salama.
Kwa hiyo ndugu Lema, Msigwa, Dr slaa ni kwamba Mwenyekiti Mbowe bado yuoo saana tu CDM.