Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kundi la wanaharakati wa Lissu kila siku ni matamko na kuungana mkono huku kambi makini wao wapo wakiendelea kujipanga kuelekea tarehe 21st.

Uchaguzi ni number na si idadi ya matamko ya uugwaji mkono, afu mkipigwa muanze kulia lia oohh Mbowe kawaibia uchaguzi.
 
Mbwe is still a potential man, if he wishes he can continue! Unadhani Lisu atafanya nini? Mbona hajamtoa Slaa kama yeye ni alfa na omga kama anavyodai na wewe unavyodai. Sana sana ataishia jela and that will be the end of it
Slaa atasumbuliwa kisha atatoka.
Yule mzee ni mkubwa sana kuliko Lissu na Mbowe, kuliko wanaomsaidia Mbowe kuwazima wapinzani wake.
 
Kundi la wanaharakati wa Lissu kila siku ni matamko na kuungana mkono huku kambi makini wao wapo wakiendelea kujipanga kuelekea tarehe 21st.

Uchaguzi ni number na si idadi ya matamko ya uugwaji mkono, afu mkipigwa muanze kulia lia oohh Mbowe kawaibia uchaguzi.
Ibeni kura lakini kazi haitakuwa rahisi. Chama kitadhoofika mfano wa CUF.
 
Hata Mugabe alikuwa anataka kuachia madaraka lakini wapambe nuksi hawakumruhusu walimlazimisha aendelee kwa gharama yoyote ile.

Naona Mbowe naye kawa Mugabe.
Mbowe ni 'Angela Merkel' wa Chadema...
 
Back
Top Bottom