Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.

Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana (2024), kwenye operation ya Helikopta amenambia zaidi ya mara 10, Moshi amenambia, Arusha amenambia, Dar amenambia, anasema bro mimi nataka kuachia Chama hiki, jipangeni nimechoka (naapa Mungu ni shahidi) haya maneno kama nasema uongo naapa Mungu ni shahidi, haya maneno kama nasema uongo Wazazi wangu wafe na watoto wango wote wafe. Kaniambia zaidi ya mara 5 kwamba amechoka anataka kuachia Chama hiki nikamwambia Mwenyekiti umepanga successor?, akasema kwenye democratic process...."
Your browser is not able to display this video.
 
Mbowe kugombea tena ni ushawishi wa Samia, swali jee wana agano gani na agano hilo litaiacha Chadema salama? Ukweli Mbowe angombea kwa maslahi mapana ya Samia na CCM sasa nyie nyumbu wa Sultan Mbowe mna manufaa gani na Chadema kugeuzwa kigango cha CCM?
 
Mimi na wewe kitu komojaaa!
Haina maana ooh
Haina maaana kurumbana!
 
Lena na Lisu ni waongo hawaaminiki hata kidogo, wapuuzwe tu. Mbowe hawezi kuzungumza maneno kama hayo na mtu mropokaji mwenye kiburi na asie na mipango kama Lema.

Aache kupotosha umma wa wa Tanzania na wadau wa JF 🐒
 
Mbowe hana ruhusu ya kuacha CHAMA kwa mtu mwingine kwasasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…