Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
jibu la mbowe lilikuwa la kimkakati sana,inaonesha alikuwa alishajua mipango pengine ya akina LISu

"democratic process"
 
Atakiacha muda muafaka ukifika, ila kwa sasa hawezi kukiacha chama katika mikono isiyo salama.

Kwa hiyo ndugu Lema, Msigwa, Dr slaa ni kwamba Mwenyekiti Mbowe bado yuoo saana tu CDM.
 
Bora amewachana na media.

Lema aache demkrasia ikue ndani ya chama. Kumbe alijibiwa vizuri tu hahitaji kuaandaliwa mrithi, bali demokrasia inaamua.

Hata hiki cha Mbowe kuamua kugombea kumeleta faida kubwa sana kuliko angeamua kukaa pembeni. Leo wala kusingekuwa na mijadala kila uchwao kuhusu chadema.

Na kwa muekeo wa jicho la kutafakari, Mbowe yupo kama msindikizaji tu kukamilisha demokrasia.

Kitu ambacho nakiunga mkono, sanduku la kura likampumzishe.

Siasa zetu tunazijua, akiondoka tu na siku mambo yakiharibika zitaanza lawama kuwa alikitelekeza chama ndiyo maana akaachia.

Sasa anaenda kupumzishwa kidemokrasia.
 
Aisee Kama alivyoongea lema (naamini Kwa 70%) ni kweli basi ,acha niwe mtazamaji wa siasa za bongo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mbowe kabadili gia angani...
 
Lema Unamaanisha alipanga kuachia chama Kwa Lissu, akalazimishwa aendelee?
 
Mimi nadhani ni kweli alikuwa amepanga kustaafu. Nahisi hata familia yake ilimtaka apumzike. Kilichomfanya abadilishe mawazo ni kampeni chafu zilizokuwa zikifanywa ili asigombee hata kabla hajatangaza. Pamekuwa na kumchafua mitandaoni kwa kiasi ambacho hakijaonekana. Sisi wengine ndio tukaanza kuhoji kwa nini nguvu zote hizi zinatumika kutaka asigombee. Wakati yote hayo yanatokea sikumsikia hata mmoja wa kundi la Lissu akisema " chonde chonde tumheshimu Mbowe". Badala yake ni insinuations kuwa kanunuliwa, kuwa ni muongo, ana biashara haramu n.k. Mtu yeyote anaejiheshimu atasema ngoja nipambane hata kama uwezekano wa kushinda ni mdogo.

Acheni ballot box iamue. Haya ya kujifanya ati hawataki agombee ili atunze legacy yake. Ingekuwa kweli hiyo ni nia yao wangezima lugha zisizofaa za wafuasi wao mapema.

Mbowe atakuwa vizuri hata akishindwa. Kiukweli atakuwa ameonyesha mfano mzuri mno kama atashindwa halafu akakubali matokeo. Uzuri wa yeye kushindana ni kuwa imebidi wahasimu wake wajitokeze.

Amandla....
 
Retired anataka aendelee pia.
Mbwe is still a potential man, if he wishes he can continue! Unadhani Lisu atafanya nini? Mbona hajamtoa Slaa kama yeye ni alfa na omga kama anavyodai na wewe unavyodai. Sana sana ataishia jela and that will be the end of it
 
Mimi nakubali"amekwambia", amechoka na mjiandae. Tatizo hamkujiandaa sasa ndio maana Mzee Ayatollah Mbowe ameamua aendelee kuwa Mwenyekiti. Hili ni kosa lenu.
 
Lena na Lisu ni waongo hawaaminiki hata kidogo, wapuuzwe tu. Mbowe hawezi kuzungumza maneno kama hayo na mtu mropokaji mwenye kiburi na asie na mipango kama Lema.

Aache kupotosha umma wa wa Tanzania na wadau wa JF 🐒
Kizee cha hovyo cha CCM kinapigania maslahi ya mama Abdul na CCM
 
Kizee cha hovyo cha CCM kinapigania maslahi ya mama Abdul na CCM
ukweli siku zote huwa ni soft sana ukilinganisha na uchungu anaoupata anaependa kuskiza uongo.

Infact ukweli mchungu gentleman na itabidi uzoeee tu 🐒
 
Atakiacha muda muafaka ukifika, ila kwa sasa hawezi kukiacha chama katika mikono isiyo salama.

Kwa hiyo ndugu Lema, Msigwa, Dr slaa ni kwamba Mwenyekiti Mbowe bado yuoo saana tu CDM.
Hawezi kuachia kwa sababu maelekezo ya mama wa maridhiano mama Abdul hayasemi aachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…