Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ni kweli Machame kuna huo upumbavu, na hata Kibosho piaWamachame wabinafsi sana,hawawapendi hata wachaga wa jamii zingine,pale njia panda machame,barabara ya arusha,kuna maduka ya vibanda ni wamachame tupu,hadi boda,ukienda mchaga wa jamii nyingine unaibiwa vitu vyako vyote,unaweza usiuze hata 100.
ukipeleka daladala yako machame to moshi mjini,hupati hata abiria mmoja kama sio mmachame..
Kwa jinsi mbowe alivyo na tamaa ya madaraka, mbowe hiki kiti anakikalia hivyo hivyo kilivyo na miba yake...haijalishi!
alimshindaje bila mdomoJacob Zuma alimshinda Thabo Mbeki kwenye Urais wa ANC.
Wanaoamini Lisu ndio anakubalika wafunge midomo wawaache wajumbe wamchaguwe wanayemtaka.
Haya mambo ya kuachiana madaraka mngeyafanya mapema kwenye vikao vya kamati kuu na siyo unachukuwa fomu halafu unasema uachiwe ebo!
Vibe inapiga kura? Ndio maana ccm wanatucheka watatawala milele kwa akili hizi.kwa vibe hili mbowe atashinda? Hebu acha utani!
vibe linaathiri wapiga kuraVibe inapiga kura? Ndio maana ccm wanatucheka watatawala milele kwa akili hizi.
Leo stroke umenenaTatizo la Lisu kichwa chake hakijatulia.
Mbowe naye kachoka kwakweli sina tatizo naye apumzike tu.
Chadema inahitaji damu mpya ila wahusika walikosea kutoandaa warithi mapema.
Viongozi wetu wapunguze ubinafsi, nchi ni yetu sote.
Mtu huwezi kaa sehemu moja milele, kupeana nafasi iwe utamaduni wetu wa kudumu.
Hakuna mtu anaweza jimilikishia kitu milele.
Kwa hiyo wewe akili ndogo na chawa wa Samia unataka Lema amuunge mkono Mbowe kisa ni mchagga. Wewe angalia ya chama chenu hicho ambacho mwenyekiti ni mfalme ambaye anapitishwa kwa shangwe na nderemo na machawa wake. Bure kabisa.Lema ni msaliti. Huyu ni mchaga aliyelogwa na mnyampaa
Mwenyekiti Freeman Mbowe,azingatie sana ushauri huu wa Lema,huyu sasa ni nabii na ushauri huu ni ushauri wa kinabii!Wakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.
Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote
======================================================
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.
- Godbless Lema amesema kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na amemuomba Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe apumzike
Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?
Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"
- Aidha Godbless Lema amesema kuwa hatogombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025
View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA