Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiona mpaka watu wako wa karibu wanatoka kukupinga hadharani kwa mambo ambayo wangeweza kukuambia faragha, jitafakari sana.

Lema umeonesha kwa vitendo wewe ni mkweli na muadilifu, pamoja na mafungamano yote na Mwenyekiti ila umesimamia ukweli.
Respect!
True.
 
Kwani unapochangia kanisa au msikiti ni kwa sababu ni vya ndugu zako? Hakuna chama cha siasa katika nchi ya kidemokrasia kinachofanya biashara. Muundo wake hauruhusu hilo. CCM walikuwa na Sukita ikafa. Walirithi viwanja vya michezo kibao ambavyo navyo wameshindwa kuviendeleza.Na hii miradi yao mingine inadumu kwa sababu tu ni chama dola. Kikiachia dola nayo itakufa.
Vyama vya siasa vinategemea michango. Ni hilo tu.

Amandla...
Tunataka wanachama Tuchange Pesa kwa ajali ya Shughuli za Chama ndio wemana Kuna membership fee, Mambo ya Mtu fulani kusema anachanga na Kujitoa zaidi hatutaki mana Kupitia Huo wema wake na Nafasi yake ndio inaleta Contradiction na Kutaka Kuona Yeye ni special sana hilo hatutaki
Kwa nafasi yake FAM mambo ya kusema anajitoa na Kuchanga zaidi haitakiwi atoke kwenye hio nafasi na awe mtoaji sisi hatutakuwa na shida nae ila kusema ame hodhi cheo cha mwenyekiti na anachanga sana ni ku undermine democracy ya chama ndio mana leo ana feel kama chama ni mali yake
 
Sio Rahisi Lisu na team yake wamewachezea sana rafu wenzao na kuchafua sana sifa ya Chadema bila kutoa ushahidi wowote hakikika

Si tu wamemchafua Mbowe bali na Chadema mbele ya macho ya public kukionyesha kama chama cha hovyo kiluchojaa rushwa kuwa vionhozi wake wanahongana na kuhongeka kirahisi

Kwenye scenario kama hiyo sio Rahisi uchaguzi ukipita wakawa wamoja
Vyama vya kisiasa vinategemea sana good will za watu. Sio tu kwa kura bali na rasilimali watu ( ushauri n.k.) na fedha. Mbowe amejijenga sana. Bila shaka kuna watu wanamchangia pesa kwa sababu wana imani nae. Kuna watu wanampa ushauri wa nini cha kufanya. Hawa wote wanafanya hivyo kwa sababu wana imani nae. Unadhani wataendelea kuwa na moyo wa kushirikiana na CDM baada ya kuona walivyomtendea Mbowe? Thubutu.

Amandla...
 
Tunataka wanachama Tuchange Pesa kwa ajali ya Shughuli za Chama ndio wemana Kuna membership fee, Mambo ya Mtu fulani kusema anachanga na Kujitoa zaidi hatutaki mana Kupitia Huo wema wake na Nafasi yake ndio inaleta Contradiction na Kutaka Kuona Yeye ni special sana hilo hatutaki
Kwa nafasi yake FAM mambo ya kusema anajitoa na Kuchanga zaidi haitakiwi atoke kwenye hio nafasi na awe mtoaji sisi hatutakuwa na shida nae ila kusema ame hodhi cheo cha mwenyekiti na anachanga sana ni ku undermine democracy ya chama ndio mana leo ana feel kama chama ni mali yake
Kwani mmezuiwa kuchangia? Mchango wa Mbowe kwa CDM sio wa pesa tu. Hivi wakati CDM ilikuwa haipokei ruzuku wangapi walikuwa wanajitolea kuhakikisha kuwa inaweza ku survive?
Ni insecurity yenu ndio inawafanya muone kuwa Mbowe anaona kuwa chama ni cha kwake. Hivi wenyeviti wangapi wanakubali kuachia mtu mwingine agombee urais?
Sisi tunachopinga ni watu kumvunjia heshima halafu kutaka mtu wao awe coronated kuwa Mwenyekiti bila kupingwa. Tunachotaka ni kura ndio ziamue na sio makubaliano ya chumbani. Akishindwa haitakuwa mwisho wa dunia maana utakuwa uamuzi wa chama chake. Lakini sio kwa fitna kama wengine wanavyotaka iwe.

Yeye ndio anajivunjia Heshima kwa kutokusoma alama Za Nyakati, Mjadala wa JPM tu kutaka Kuongeza terms kwenye ofisi mlipiga kelele kweli kweli leo mbowe amekuwa chairman for 21 Yrs bado mnataka tu aendelee, Kwa nafasi yake pia anaona akiwa challenged na Mgombes yoyote anaona ni Kuvunjiwa heshima mana miaka yote amekuwa kama Mgombea pekee tu na kufanyia Figisu wenzie refer issue za Kina Chacha Wangwe na Zito,

Sasa leo amepata Opponent ndio analeta story za Kuvunjiwa heshima apambane na Platform hio na alichosema leo Lema hakijavunja Katiba ya chama ni maoni yake na kama Mwanachama ni haki yake kutangaza mgombea anayetaka
 
Ukiskia nyota ya kusakamwa ndio hii,Cheo na Lipumba wana miaka zaidi ya 30 ya uenyekiti,ila Mbowe cha moto anakiona!!.Watu wamesema watambana bado wanashawishi,ushindi apewe mtu bila pambano.Basi wangekaa mezani na sio kukaa kwenye mitandao.Sasa mzee Mbowe kaamua afe kiume tena afie vitani😂😂 vita ni vita murah!!
 
Vyama vya kisiasa vinategemea sana good will za watu. Sio tu kwa kura bali na rasilimali watu ( ushauri n.k.) na fedha. Mbowe amejijenga sana. Bila shaka kuna watu wanamchangia pesa kwa sababu wana imani nae. Kuna watu wanampa ushauri wa nini cha kufanya. Hawa wote wanafanya hivyo kwa sababu wana imani nae. Unadhani wataendelea kuwa na moyo wa kushirikiana na CDM baada ya kuona walivyomtendea Mbowe? Thubutu.

Amandla...
Uko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhili

Mbowe nintajiri milioni 100 mfano kwake si lolote au chochote kwa Lisu ni issue ndio maana kununua gari tu lake la kutembelea ilibidi atunie kuchangisha

Chadema Lisu hakijui kilianzishwa na wenye pesa na siku ya uzinduzi ndio chama pekee kilichokuwa na ma landcruser mapya mengi hata CCM wenyewe wakiwa hawaba wanatemvelea landrover choka mbaya

Kumpa maskini mpiga domo tu kama Lisu kutaua Chadema.Wafadhili hawawezi kukabidhi mamilioni yao kwa mtu ambaye hata pesa ya kununua gari yake tu hana kuna kipindi alikuwa akiomba diaspora wamchangie hadi ada za watoto wake na nguo na clip ziko youtube

Kiongozi kupendwa ni pamoja na wafadhiki wa ndani na nje kuwa tayari kumchangia mabilioni kwa ajili ya chama chapchap kikihitaji

Mbowe anaaminiwa kwenye hilo sio Lisu
 
Hapo sasa.Akina Chiembe,Tlaahtlaah,MamaSmiah2025,ChoiceVariable,Lucas Mwashambwa,Mtoto wa Shule,Makupa nk.
Wanataman waje waseme mbowe anafaa ila wanaona wakija kusema hivyo patatokea contradiction na post zao za zaman za kusema mbowe dikteta..hahahaha
 
Ha
Uko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhili

Mbowe nintajiri milioni 100 mfano kwake si lolote au chochote kwa Lisu ni issue ndio maana kununua gari tu lake la kutembelea ilibidi atunie kuchangisha

Chadema Lisu hakijui kilianzishwa na wenye pesa na siku ya uzinduzi ndio chama pekee kilichokuwa na ma landcruser mapya mengi hata CCM wenyewe wakiwa hawaba wanatemvelea landrover choka mbaya

Kumpa maskini mpiga domo tu kama Lisu kutaua Chadema.Wafadhili hawawezi kukabidhi mamilioni yao kwa mtu ambaye hata pesa ya kununua gari yake tu hana kuna kipindi alikuwa akiomba diaspora wamchangie hadi ada za watoto wake na nguo na clip ziko youtube

Kiongozi kupendwa ni pamoja na wafadhiki wa ndani na nje kuwa tayari kumchangia mabilioni kwa ajili ya chama chapchap kikihitaji

Mbowe anaaminiwa kwenye hilo sio Lisu
Hapa ndipo ilipo shida ya Lisu,watu na marafiki wa kweli ni mtaji na wawe na uwezo,Sasa kama wanakosa mil 30 au ya gari baadae si watakosa hata hela ya bando.Bado jamani fedha nayo ni muhimu kwenye siasa.Wale jamaa zake hapa ndipo walitamiwwa waonye uungwana wao kumchangia fasta ml 30 wakate kiherehere cha wenye hela.
 
Wakuu,

Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.

Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.

Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote

======================================================

  • Godbless Lema amesema kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na amemuomba Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe apumzike
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.

Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?

Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"

  • Aidha Godbless Lema amesema kuwa hatogombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025

View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA

Mwamba amechana haja aacha ukakasi
 
Ha

Hapa ndipo ilipo shida ya Lisu,watu na marafiki wa kweli ni mtaji na wawe na uwezo,Sasa kama wanakosa mil 30 au ya gari baadae si watakosa hata hela ya bando.Bado jamani fedha nayo ni muhimu kwenye siasa.Wale jamaa zake hapa ndipo walitamiwwa waonye uungwana wao kumchangia fasta ml 30 wakate kiherehere cha wenye hela.
Kwani nyerere alikua hana mabilion uliona aki fisadi mabilion ya serikali...?
 
Wakuu,

Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.

Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.

Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote

======================================================

  • Godbless Lema amesema kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na amemuomba Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe apumzike
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.

Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?

Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"

  • Aidha Godbless Lema amesema kuwa hatogombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025

View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA

Fortilo, Erythrocyte, fazil, LIKUD, Tlaatlaah, JokaKuu, Drifter, Alen Kilewela, imhotep, binti kiziwi, waliomo na wasiokuwamo, haya si ndivyo mambo yetu ndugu zangu?
 
Kwani nyerere alikua hana mabilion uliona aki fisadi mabilion ya serikali...?
Nyerere alikuwa na rasimali watu ambao ni kama baba yake Mbowe alihakikisha anapata suti nzuri kwenda kwenye mambo ya kudai uhuru.Hapa tuelewane kama huna hela lazima utakuwa na marafiki wenye hela hata kama ni kidogo.Ila kama huna na marafiki zako hawana.Utaona kila aliye nacho ni fisadi.
 
Uko sahihi kuaminiwa mfano na wafadhili wa ndani na wa nje huangalia tu mtu ana nini kama dhamana waachilie mabilioni kufadhili

Mbowe nintajiri milioni 100 mfano kwake si lolote au chochote kwa Lisu ni issue ndio maana kununua gari tu lake la kutembelea ilibidi atunie kuchangisha

Chadema Lisu hakijui kilianzishwa na wenye pesa na siku ya uzinduzi ndio chama pekee kilichokuwa na ma landcruser mapya mengi hata CCM wenyewe wakiwa hawaba wanatemvelea landrover choka mbaya

Kumpa maskini mpiga domo tu kama Lisu kutaua Chadema.Wafadhili hawawezi kukabidhi mamilioni yao kwa mtu ambaye hata pesa ya kununua gari yake tu hana kuna kipindi alikuwa akiomba diaspora wamchangie hadi ada za watoto wake na nguo na clip ziko youtube

Kiongozi kupendwa ni pamoja na wafadhiki wa ndani na nje kuwa tayari kumchangia mabilioni kwa ajili ya chama chapchap kikihitaji

Mbowe anaaminiwa kwenye hilo sio Lisu
Huna Unalojua wewe, Kwa taarifa yako lissu angekuwa Mtu wa tamaa za Mali leo hii angekuwa mbali sana, Mwendazake alikuwa tayari kumpa hela ndefu sana TAL ili tu aunge mkono juhudi ila aligoma, Siumemsikia Ezekia Wenja anavyojikanyaga kwa mtoto wa rais kiasi kwamba amekuwa broker sasa ndio unagundua Lissu is gifted tena ni wanasiasa wachache sana wenye kariba Ya Tundu Lissu

Leo Ezekia wanje ananzisha Dialogue na Mtoto wa Rais ambae hana Cheo chochote kikatiba Kwasababu anazozijua yeye later wanakuja kumhusisha Lissu akachomoa

Lissu Ni mtu wa aina yake sana naamini hata hayo magari na ada za watoto akizitaka kwa watawala atazipewa Bila shida kabisa ila ameamua Kusimama na Umma

Halafu issue ya Kiongozi kuomba achangiwe sio swala jipya kabisa kuna Matajiri wa miaka Hio wali finance harakati za Uhuru n Kumpatia Nyerere nyenzo zote apambinie Kombe, Nyerere hakuwa tajiri lakini Leo si unaona Ndio baba Wa taifa letu

Halafu tukujuze tu kuwa TAL kuna Mambo Mengi anayafanya Kama sehemu ya Diplomacy na Society na Society inclusivity ila Lissu yupo na watu wazito sana Wana msupport behind the scene sasa akija Kuomba Mia yako ni part of inclusion tu ya Jamii mana yule Ni mwanaharakati

Na TAL Tunamuombea afike mbali kabisa
 
Mwambieni mwamba ndugu zangu aachie ngazi kwa heshima.

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg

Hatuwataki machawa CDM, Lissu atawanyorosha wote!
 
Nyerere alikuwa na rasimali watu ambao ni kama baba yake Mbowe alihakikisha anapata suti nzuri kwenda kwenye mambo ya kudai uhuru.Hapa tuelewane kama huna hela lazima utakuwa na marafiki wenye hela hata kama ni kidogo.Ila kama huna na marafiki zako hawana.Utaona kila aliye nacho ni fisadi.
Hata yeye atakua na rasilimali watu. Chama chenye wanachama zaidi ya 1M tu inatosha kuongeza mapato. Pigia hiyo 1, 2, au hata 4M watoe ada ya uanachama iwe hata 500 zidisha na idadi alafu pia kuna ruzuku.
 
Back
Top Bottom