Haya yote mnayajua baada ya Lisu kutaka Uenyekiti?Ili uwe Katibu Mkuu sio!
Wewe ni mkimbizi- Canada( Katibu Mkuu)
TAL ni Mkimbizi - Belgium ( Mwenyekiti)
Heche ni Mjaluo wa Kenya ( Makamu Mwenyekiti)
Ndio utakuwa muundo mpya wa chadema🥺😳😳😳😳😳🥺
Hawajamaliza hii script?Wakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya Freeman Mbowe au Tundu Lissu anamuunga mkono.
Kaa karibu na Jamii Forums kupata updates zote
======================================================
"Mimi Mbowe ni kaka yangu, tunajuana. Yeye ni Mchaga na mmachame kama mimi, na familia zetu zinafahamiana, ila kwa uchaguzi ujao wa Mwenyekiti namuomba amuachie Tundu Lissu.
Lissu amekuwa Makamu Mwenyekiti, mnadhimu wa Bunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, wanaosema hawezi kuwa Mwenyekiti wanataka nani awe?
Kuna watu wanasema Lissu asiwe Mwenyekiti kwasababu hana pesa, sasa niwaambie katika wakati ambao chama kinapaswa kupata kiongozi asiye na hela ni sasa ili wajumbe wajue kuwa chama hakipaswi kuendeshwa kwa pesa za mtu mmoja bali mobilization kutoka kwa watu. CHADEMA inabidi kitafute namba ya ku-rise fund. Kuna watu waliingia kwenye uongozi bila kuwa na pesa"
View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=QELvyU3Ewhqvx9gA
Wewe Mnywaranda mbona sisi tumepiga kimya...Ili uwe Katibu Mkuu sio!
Wewe ni mkimbizi- Canada( Katibu Mkuu)
TAL ni Mkimbizi - Belgium ( Mwenyekiti)
Heche ni Mjaluo wa Kenya ( Makamu Mwenyekiti)
Ndio utakuwa muundo mpya wa chadema🥺😳😳😳😳😳🥺
Mimi hicho ndio sielewi. Kwa vile wameona hastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti wafanye kampeni ili wapiga kura wasimchague. Haya ya kumtaka apumzike, oh ni ndugu yangu, oh kabila yangu n.k. halina nafasi hapa. Lema hakuwa na haja ya kuweka press conference kutoa taarifa ya kitu ambacho wote tunakijua. Au anaogopa kuwa Mbowe nae atasema " et tu Lema?"Kwani si watampumzisha kwenye uchaguzi au? Mbona kelele za apumzike ziko nyingi? Mtu wao hawezi kushinda ama? 😂😂
Ikiuma semaIli uwe Katibu Mkuu sio!
Wewe ni mkimbizi- Canada( Katibu Mkuu)
TAL ni Mkimbizi - Belgium ( Mwenyekiti)
Heche ni Mjaluo wa Kenya ( Makamu Mwenyekiti)
Ndio utakuwa muundo mpya wa chadema🥺😳😳😳😳😳🥺
Aisee umeongea ujinga wa kiwango cha juu sana. No wonder hata huko ccm hawakufahamu. Kauli kama hizo ilipaswa waongee wenye ccm yao kina Makala na Ridwan Kikwete siyo kima kama wewe. Chunga sana huu ujinga wako husije ukawarithisha watoto wako!Ili uwe Katibu Mkuu sio!
Wewe ni mkimbizi- Canada( Katibu Mkuu)
TAL ni Mkimbizi - Belgium ( Mwenyekiti)
Heche ni Mjaluo wa Kenya ( Makamu Mwenyekiti)
Ndio utakuwa muundo mpya wa chadema🥺😳😳😳😳😳🥺
Uchaguzi ukiisha yeye na Lisu wanahama Chadema na makelele hayUchaguzi ukiisha, lissu na nabii wake wapewe mkono wa kwaheli. Maana naona sasa hawamuheshimu menyekiti chama.
Lisu ni mchaga?Chadema kila mchagga ni msemaji wa hii SACCOS
Hebu nipe faida za ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe kukaa pembeni na hiyo damu mpya kuingia kuna tija yoyote? Unamjuwa hata kwa jina aliyemrithi Zitto Kabwe?Tatizo la Lisu kichwa chake hakijatulia.
Mbowe naye kachoka kwakweli sina tatizo naye apumzike tu.
Chadema inahitaji damu mpya ila wahusika walikosea kutoandaa warithi mapema.
Viongozi wetu wapunguze ubinafsi, nchi ni yetu sote.
Mtu huwezi kaa sehemu moja milele, kupeana nafasi iwe utamaduni wetu wa kudumu.
Hakuna mtu anaweza jimilikishia kitu milele.