Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe ni mwizi wa wake za watu hatukusemi?nabii mnyang'anyi mashuhuri wa malori hana ushawishi wala credibility ya kuskizwa na wanachadema kuelekea uchaguzi wao muhimu wa kitaifa,
nadhani inafaa zaidi aendelee kupuuzwa kama alivyo puuzwa na wana Arusha wa chadema 🐒
Inzi wa kijani wanamwogopa sana LISSUKama Wanataka Upinzani ulio na Walao Nguvu hata kwa 45% Wamchague Lisu
Sio kwamba Lisu Mzuri ila ni Bora ×10 zaidi ya Mbowe!
Kama Majani watapata Kiwewe Ni kuchaguliwa kwa Lisu kuwa Mwenyekiti
89.9 Medium Wave inaoma vizuri sana.Vipi huko Dodoma mitabendi hazishikiki?
kapiga watu sana na na kuwadedisha na ile chuma inaitwa tairiva ili apore Lori hiyo muungwana,Mbona wewe ni mwizi wa wake za watu hatukusemi?
Mkuu kama ulivyosikia mwenyewe kwa Lemma, Mbowe hakuwa na mpango wa kugombea na mwaka 2019 pia aliuambia mkutano mkuu kuwa hatagombea tena. Sasa huu mpango wa kugombea ni agano lake binafsi na Samia ikimaanisha kuwa Mbowe kugombea ni mpango wa CCM kwa maslahi mapana ya CCM ndiyo maana maccm wote wanampigania Mbowe awe mwenyekiti kwa faida ya Samia na CCM. Dr. Slaa pia amesema kuwa Samia ameahidi kumpa Mbowe fedha na rasilimali watu kumsaidia kurudi madarakani.Me sio mtu wa vyama vyama na siasa ila swali langu ni kwanini CCM ndio wanaumia sana wakisikia lissu anashinda, au kuona watu wanamsapoti Lissu ? Si ni hawa hawa ccm walisema mbowe kakaa muda mrefu ampishe mwingine ?...Baada ya kuona mwingine ni TAL na ni Moto wakuotea mbali wanamtaka tena mbowe ashinde, hahahaha nchi ina matahira wengi sana hii
jana nimekaa na wazee fulan wana miaka 70+ nawaelekeza hawaelewi yani nao walikuwaga hawamtaki mbowe ila saivi wanamtaka mbowe sa me najiuliza yan kuna kipi wanafaidika na mbowe na ni watu wa ccm nikagundua ccm lisu hawataki ashinde kwa maslai yao binafsi. Haiwezekani watu wotee wanaoweza kureason mambo vizuri wanataka Lissu ashinde ila matahira na ccm na the likes wanaona anafaa japokuwa walikuwaga wanasema mbowe dikteta aachie chama, inasikitisha sana aiseeMkuu kama ulivyosikia mwenyewe kwa Lemma, Mbowe hakuwa na mpango wa kugombea na mwaka 2019 pia aliuambia mkutano mkuu kuwa hatagombea tena. Sasa huu mpango wa kugombea ni agano lake binafsi na Samia ikimaanisha kuwa Mbowe kugombea ni mpango wa CCM kwa maslahi mapana ya CCM ndiyo maana maccm wote wanampigania Mbowe awe mwenyekiti kwa faida ya Samia na CCM. Dr. Slaa pia amesema kuwa Samia ameahidi kumpa Mbowe fedha na rasilimali watu kumsaidia kurudi madarakani.
Inaelekea mpango wa kumpindua Mbowe ulianza mapema sana. Ule uchaguzi wa Kanda ulikuwa wa kuweka watu wao. Wenje ndie aliye haribu mchoro mzima. Ndio maana anachukiwa sana. Pamoja na hayo hawajaweza kukanusha hata hoja yake moja. Hamna anayekataa kuwa hawakumsingizia Mbowe alihongwa gari. Ile hadithi ya Abduli kumpelekea Lissu hongo inaaminiwa na wale tu ambao kwao Lissu ni messiah.Jacob Zuma alimshinda Thabo Mbeki kwenye Urais wa ANC.
Wanaoamini Lisu ndio anakubalika wafunge midomo wawaache wajumbe wamchaguwe wanayemtaka.
Haya mambo ya kuachiana madaraka mngeyafanya mapema kwenye vikao vya kamati kuu na siyo unachukuwa fomu halafu unasema uachiwe ebo!
Mpango mzima ni hivi: Mbowe amechokwa na yeye mwenyewe amechoka na kama akiwa mwenyekiti tena Chadema itadhoofika sana kwani watu wengi ndani na nje ya Chadema watajiweka kando ukweli huu CCM wanaufahamu kwa kupitia TISS ambao wanakusanya data zote, sasa hapo CCM itakuwa imeimaliza Chadema kupitia kwa Mbowe mwenyewe,naamini Mbowe siyo mjinga kuwa hafahamu ukweli huu ila amefika bei. Aepewa hela nyingi sana (12b) na ahadi ya kupewa majimbo 40 ya ubunge lakini kwenye urais Samia atapata mserereko kwani mtu anayemhofia ni Lissu.jana nimekaa na wazee fulan wana miaka 70+ nawaelekeza hawaelewi yani nao walikuwaga hawamtaki mbowe ila saivi wanamtaka mbowe sa me najiuliza yan kuna kipi wanafaidika na mbowe na ni watu wa ccm nikagundua ccm lisu hawataki ashinde kwa maslai yao binafsi. Haiwezekani watu wotee wanaoweza kureason mambo vizuri wanataka Lissu ashinde ila matahira na ccm na the likes wanaona anafaa japokuwa walikuwaga wanasema mbowe dikteta aachie chama, inasikitisha sana aisee
Ni haki yake mbona sultani kila siku yupo kwenye vyombo vya hbr akilia kama mtoto mdogo aachwe amalizie uzee wake kwenye kiti.Mimi hicho ndio sielewi. Kwa vile wameona hastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti wafanye kampeni ili wapiga kura wasimchague. Haya ya kumtaka apumzike, oh ni ndugu yangu, oh kabila yangu n.k. halina nafasi hapa. Lema hakuwa na haja ya kuweka press conference kutoa taarifa ya kitu ambacho wote tunakijua. Au anaogopa kuwa Mbowe nae atasema " et tu Lema?"
Mimi ningewashauri kuwa pamoja na kumshauri apumzike wangemwambia pia kuwa apumzike katika kuchangia chama kifedha kupita kiasi. Wanachama watakibeba chama chao.
Amandla...
SSH MzanzibariIli uwe Katibu Mkuu sio!
Wewe ni mkimbizi- Canada( Katibu Mkuu)
TAL ni Mkimbizi - Belgium ( Mwenyekiti)
Heche ni Mjaluo wa Kenya ( Makamu Mwenyekiti)
Ndio utakuwa muundo mpya wa chadema🥺😳😳😳😳😳🥺
Mbowe hajawahi kusema Lissu asigombee. Yeye ametangaza kugombea ambayo ni haki yake kama ilivyo kwa Lissu. Sasa mnaogopa nini mpaka kila siku mnaimba ngonjera za kumkumtaka asigombee.Ni haki yake mbona sultani kila siku yupo kwenye vyombo vya hbr akilia kama mtoto mdogo aachwe amalizie uzee wake kwenye kiti.