Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Me sio mtu wa vyama vyama na siasa ila swali langu ni kwanini CCM ndio wanaumia sana wakisikia lissu anashinda, au kuona watu wanamsapoti Lissu ? Si ni hawa hawa ccm walisema mbowe kakaa muda mrefu ampishe mwingine ?...Baada ya kuona mwingine ni TAL na ni Moto wakuotea mbali wanamtaka tena mbowe ashinde, hahahaha nchi ina matahira wengi sana hii
 
Hawa jamaa bhana mbona wanaogopa box la kura sana,au ni ufahamu wangu.Acha aondolewe kwa kura ardhike au aendelee kwa kura.Hii kumshambulia kama mpira wa kona inaleta mashaka.Uchaguzi ni kushinda au kushindwa.
 
Mbona wewe ni mwizi wa wake za watu hatukusemi?
kapiga watu sana na na kuwadedisha na ile chuma inaitwa tairiva ili apore Lori hiyo muungwana,

laana imeanza kumtafuna kama mzee slaa. My friends ladies and gentlemen, malipo ni hapa hapa duniani ndrugo zangu 🐒
 
Me sio mtu wa vyama vyama na siasa ila swali langu ni kwanini CCM ndio wanaumia sana wakisikia lissu anashinda, au kuona watu wanamsapoti Lissu ? Si ni hawa hawa ccm walisema mbowe kakaa muda mrefu ampishe mwingine ?...Baada ya kuona mwingine ni TAL na ni Moto wakuotea mbali wanamtaka tena mbowe ashinde, hahahaha nchi ina matahira wengi sana hii
Mkuu kama ulivyosikia mwenyewe kwa Lemma, Mbowe hakuwa na mpango wa kugombea na mwaka 2019 pia aliuambia mkutano mkuu kuwa hatagombea tena. Sasa huu mpango wa kugombea ni agano lake binafsi na Samia ikimaanisha kuwa Mbowe kugombea ni mpango wa CCM kwa maslahi mapana ya CCM ndiyo maana maccm wote wanampigania Mbowe awe mwenyekiti kwa faida ya Samia na CCM. Dr. Slaa pia amesema kuwa Samia ameahidi kumpa Mbowe fedha na rasilimali watu kumsaidia kurudi madarakani.
 
jana nimekaa na wazee fulan wana miaka 70+ nawaelekeza hawaelewi yani nao walikuwaga hawamtaki mbowe ila saivi wanamtaka mbowe sa me najiuliza yan kuna kipi wanafaidika na mbowe na ni watu wa ccm nikagundua ccm lisu hawataki ashinde kwa maslai yao binafsi. Haiwezekani watu wotee wanaoweza kureason mambo vizuri wanataka Lissu ashinde ila matahira na ccm na the likes wanaona anafaa japokuwa walikuwaga wanasema mbowe dikteta aachie chama, inasikitisha sana aisee
 
Jacob Zuma alimshinda Thabo Mbeki kwenye Urais wa ANC.

Wanaoamini Lisu ndio anakubalika wafunge midomo wawaache wajumbe wamchaguwe wanayemtaka.

Haya mambo ya kuachiana madaraka mngeyafanya mapema kwenye vikao vya kamati kuu na siyo unachukuwa fomu halafu unasema uachiwe ebo!
Inaelekea mpango wa kumpindua Mbowe ulianza mapema sana. Ule uchaguzi wa Kanda ulikuwa wa kuweka watu wao. Wenje ndie aliye haribu mchoro mzima. Ndio maana anachukiwa sana. Pamoja na hayo hawajaweza kukanusha hata hoja yake moja. Hamna anayekataa kuwa hawakumsingizia Mbowe alihongwa gari. Ile hadithi ya Abduli kumpelekea Lissu hongo inaaminiwa na wale tu ambao kwao Lissu ni messiah.

Mbowe aliujua mchezo wote. Walitarajia kuwa wangeweza kumshurutisha Mbowe asigombee. Hiyo ingewapa kichaka cha kujifichia wanafik ambao wangemwambia kuwa angegombea wangempigia kura. Mbowe called their bluff na sasa inabidi wajitokeze hadharani. Na baada ya uchaguzi hapatakuwa na mtu wa kujifanya angempigia kura Mbowe ila alijitoa. Sio watu wazuri kabisa.

Amandla...
 
jana nimekaa na wazee fulan wana miaka 70+ nawaelekeza hawaelewi yani nao walikuwaga hawamtaki mbowe ila saivi wanamtaka mbowe sa me najiuliza yan kuna kipi wanafaidika na mbowe na ni watu wa ccm nikagundua ccm lisu hawataki ashinde kwa maslai yao binafsi. Haiwezekani watu wotee wanaoweza kureason mambo vizuri wanataka Lissu ashinde ila matahira na ccm na the likes wanaona anafaa japokuwa walikuwaga wanasema mbowe dikteta aachie chama, inasikitisha sana aisee
Mpango mzima ni hivi: Mbowe amechokwa na yeye mwenyewe amechoka na kama akiwa mwenyekiti tena Chadema itadhoofika sana kwani watu wengi ndani na nje ya Chadema watajiweka kando ukweli huu CCM wanaufahamu kwa kupitia TISS ambao wanakusanya data zote, sasa hapo CCM itakuwa imeimaliza Chadema kupitia kwa Mbowe mwenyewe,naamini Mbowe siyo mjinga kuwa hafahamu ukweli huu ila amefika bei. Aepewa hela nyingi sana (12b) na ahadi ya kupewa majimbo 40 ya ubunge lakini kwenye urais Samia atapata mserereko kwani mtu anayemhofia ni Lissu.
 
Mimi hicho ndio sielewi. Kwa vile wameona hastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti wafanye kampeni ili wapiga kura wasimchague. Haya ya kumtaka apumzike, oh ni ndugu yangu, oh kabila yangu n.k. halina nafasi hapa. Lema hakuwa na haja ya kuweka press conference kutoa taarifa ya kitu ambacho wote tunakijua. Au anaogopa kuwa Mbowe nae atasema " et tu Lema?"

Mimi ningewashauri kuwa pamoja na kumshauri apumzike wangemwambia pia kuwa apumzike katika kuchangia chama kifedha kupita kiasi. Wanachama watakibeba chama chao.

Amandla...
Ni haki yake mbona sultani kila siku yupo kwenye vyombo vya hbr akilia kama mtoto mdogo aachwe amalizie uzee wake kwenye kiti.
 
Ni haki yake mbona sultani kila siku yupo kwenye vyombo vya hbr akilia kama mtoto mdogo aachwe amalizie uzee wake kwenye kiti.
Mbowe hajawahi kusema Lissu asigombee. Yeye ametangaza kugombea ambayo ni haki yake kama ilivyo kwa Lissu. Sasa mnaogopa nini mpaka kila siku mnaimba ngonjera za kumkumtaka asigombee.

Amandla...
 
Back
Top Bottom